Recent content by maswenga

  1. M

    Wazimbabwe wanamdhihaki Rais wa Tanzania?

    Wanaomdhihaki Mhe Rais ni nyie Watanzania wenzetu. Bado mna fikra za kikoloni kuwa kutojua English ni tatizo. Na yote haya mnaumia sababu ya utendaji bora wa Rais. Nani kasema Magufuli hajui English?. Suala la accent sio tatizo, kila mtu ana matatizo ya accent anapoongea lugha ya mwenzake. Hata...
  2. M

    Askofu Rweyongeza: Mfumo wa Elimu ukivurugwa na Mbumbumbu kupewa madaraka, Amani ya Taifa itatoweka

    Kwahiyo kuweka msisitizo kwenye sekta ya elimu ndio kwenda kinyume cha mafundisho ya biblia?. Au umeumia alivyomsifia Mkuu?. Acha ujuha wewe.
  3. M

    Kwa heshima yako Waziri Mkuu jiuzulu, Mwachie peke yake!

    PM ajiuzulu kwanini?. Mkuu wa nchi ndio alitoa maelekezo kwa PM na sio kama PM alikuja na msimamo wake. Kaka tofautisha hapo. Yeye alipewa kazi atekeleze, sasa kama bosi amekuja na maamuzi mengine, unajiuzulu vipi?. Jukumu la PM hapo ni kuridhia maamuzi ya mkubwa wake na sio kujiuzulu...
  4. M

    Video: Matibabu ya Funza Kenya, wakenya milioni Mbili wanasumbuliwa na Funza

    Unajua majirani zetu mna tambo nyingi sana zisizo na msingi mnasahau kuwa bado sisi sote E.A tuna safari ndefu. Tunahitaji zaidi kushikamana kuliko kushindana au kuchambana. Nchi zetu zote bado zina kazi kubwa hasa kwenye Sekta ya Afya. Kila nchi ina matatizo yake. Cha msingi ni kushirikiana...
  5. M

    Waziri Mkuu amuagiza RPC Kagera kuwachukulia hatua kali askari wote wanaotuhumiwa kusindikiza kahawa za magendo

    Serikali imeshasema kuwa kuanzia mwakani kahawa yote itauzwa kwa njia ya mnada. Nia ya Serikali ni kumsaidia mkulima kwa kuipandisha thamani kahawa yetu yaani badala ya wakulima wa Tanzania kuuza kahawa kwa bei ya kulaliwa na madalali wa Uganda, tunataka wanunuzi wa kimataifa wanaonunua kahawa...
  6. M

    Waziri Mkuu ziara yako mkoani Tabora, unapigwa changa la macho

    1. Kimsingi Mkutano wa WM ktk ngazi ya Wilaya unawahusu Wakuu wa Idara, Wakuu wa Vitengo na Wakuu wa Taasisi. Pale Mazingira yanaporuhusu ikowemo Venue wanaweza kuingia watumishi wengine wakiwemo walimu. 2. Kikao cha WM na watumishi ni cha kutoa taarifa ya maendeleo na kupokea maelekezo ya...
  7. M

    Kwa aibu hii ya mara ya pili, wahusika mbadilishieni Rais mpambe wake

    Unampima vipi usharp wake wewe?. Je unajua majukumu ya ADC?. Acha kuingilia kazi za watu.
  8. M

    Wakenya mwaka huu ni wetu

    Pope John Paul alipokuja Africa mara ya kwanza alikuja na Tanzania akalala siku tatu. Mandela alipotoka kifungoni nchi ya kwanza kuitembelea ni Tanzania na alilala siku 4 na alienda kulala mkoani Morogoro. Rais wa China nchi ya kwanza kutembekea ni Africa ni Tanzania. Ukiondoa America na Ulaya...
  9. M

    Kasi ya Rais Magufuli: Nani aliyewashauri Home Shopping Centre!

    Ukishashinda uchaguzi unaendeleaje kuwa Rais w wanachama wako?. Lazima utakuwa Rais wa wananchi wote. Huwezi kuangalia maslahi ya wanachama bali utaangalia maslahi ya kitaifa. Kwani hilo nalo geni kwako?.
  10. M

    Rais Magufuli: Hongera kwa kutupa kule Ilani ya CCM na Kutumia zilizo Bora

    Mtazungukaa na maelezo kibao mara anatekeleza sera za opposition mara anawaumbua CCM kila kitu mtaongea lakini mwisho wa siku tunarudi palepale kuwa kumbe mabadiliko sio lazima serkali iende upinzani, bali MABADILIKO NDANI YA CCM YENYEWE IMEWEZEKANA. More changes are coming. HAPA KAZI TU
  11. M

    Makamu wa Rais Mama Suluhu,Rais Mstaafu J.Kikwete washiriki msiba wa mjukuu wa Rais Magufuli

    Mjukuu sio lazima awe wa kuzaliwa na mwanae wa kumzaa. Inawezekana ni wa kaka au dada au hata binamu. Wewe tumia kichwa kutafakari kabla hujaandika
  12. M

    Sheria ya mita 200 inatekelezeka kweli?

    Maswali yako ni ya msingi sana. Yanahitaji majibu makini kupata picha kamili.
Back
Top Bottom