hapo lazma jamaa wa mapantoni na hao wenzao wa mwendokasi kila mmoja anatetea kesho yake kwanza japo ilibidi waelewane tu asilimia za mgao maana wote ni serekali
Kwa kweli mm sikumbuki lini niliacha kusalimia wadada ila ni zamani sana na hasa baada ya kugundua hata ukisalimia mwenzio anauchuna.
saivi siwasalimii kabisa labda aanze yeye mm ntamwitikia.
nilichojifunza ukiona mdada hasa hawa wabichi au warembowarembo ukiona anakusalimia basi ujiandae...
Dooh kwa hali hii alafu unakuta tume inaundwa kuchunguza kwann upigaji serekalini umezidi. Huyu anaishi juu ya uwezo wake,,ili mambo yaende lazma akwibe huyu,,,trust me
Kuna namba unakuta unayo kwenye simu yako lakini inaweza ikapita miaka na miaka hujawahi kumpigia huyo mhusika na wala huyo mwenye iyo namba hajawahi kukupigia wewe.
Japo inaweza kutokea mara chache sana ukajikuta unahitaji kumpigia mtu lakini mara nyingi namba hizi zinazoishia kujaza simu tu...
Mkuu uko sahihi ila ambacho hujaelewa wkt wa bwana yule hayo yote ya kufuata utaalam yaliwekwa pembeni ilikuwa ni mwendo wa kuunga mkono juhudi na kujisikifia wameokoa gharama . Ukumbuki kuna ndege ilipakwa rangi ya nyumba!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.