Recent content by masukila

  1. masukila

    JamiiForums Tanzania Je kuna maeneo duniani yameshafikia siku ya christmas?

    Hakuna hayo maeneo.....na sidhani kama kuna eneo ambalo linawahi au kuchelewa masaa 24....
  2. masukila

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni kuswali, ila huu si Ustaarabu jamani

    Watu tunalala na kwaya zinapigwa usiku kucha plus maombi yaani full makelele...ila tunavumilia hiki kitendo cha dakika 5 wewe kinakukela nin...? Ikiwa sisi usiku kucha tunavumilia....! Hiyo ndo religious tolerance
  3. masukila

    JamiiForums Tanzania Wenye magari: Mnaibiwa sana kwenye petrol station

    Kwa hiyo vituo vinavyoiba mafuta ni oilcom tu na vingine.... Maana umezungumzia cha kagera then cha ubungo na Morocco. ...ulivyoona unaibiwa ulichukua measure gani...au kwa nin usingehama petrol station...?
  4. masukila

    JamiiForums Tanzania Ndani ya mkutano Lucky Vicent Arusha kabla ya Polisi kuvamia (+video fupi)

    Kitu nilichojifunza.......ccm wanataka kila aina ya watu wawe nao wao peke yao...wakiwa na wengine kosa
  5. masukila

    JamiiForums Tanzania Nipo katika kipindi kigumu, naomba msaada

    Me nashauri tukuite Ngoswe.....maana umesahau kilichokupeleka ukaenda kufuga cha ziada....we kweli mshamba......
  6. masukila

    JamiiForums Tanzania BAKWATA mnaufedhehesha umma wa waislam, mko kimya juu ya kuuawa kijana Salum kwanini?

    Sheikh mkuu wa mkoa wa dar es salaam yupo busy na mshikaji wake bashite. ..Kwa ufupi issue kama hizi yeye hazimuhusu...... Poor bakwata. ....shame on those who hypocrisy fellow Muslims. ...
  7. masukila

    JamiiForums Tanzania Utata na historia ya Salum bin Almasi aliyeuawa Kurasini akituhumiwa ni jambazi

    Sidhani kama kuna uchunguzi utakaofanyika maana hawa polisi wanafanyakazi kimazoea .....what happened was not mistake ....something happens for a reasons .....let's wait n see ila Maisha ya Waislamu wa Tanzania yao hatarini
  8. masukila

    JamiiForums Tanzania Kuombewa na mtumishi wa Mungu GeorDavie ni laki moja kwa kila mtu

    Hii ndo mipango miji kama ilivyo mipango miji mingine... hawa ndo manabii wa uongo waliozungumziwa
Back
Top Bottom