Recent content by Mastory worldwide

  1. Mastory worldwide

    Teknolojia ipo kasi sana

    Teknolojia imefikia kwenye hatua ambayo binadamu anaweza kuunganishwa na teknolojia ya Google na hivyo akaweza kujibu maswali mbalimbali atakayoulizwa kwa usahihi.
  2. Mastory worldwide

    Vipengele muhimu ambavyo mchezaji anapaswa kuvizingatia pindi awapo mchezoni

    01. Nafasi (Space). Katika mpira wa miguu, nafasi inahusu eneo kwenye uwanja ambalo linapatikana kwa mchezaji. Ni kuhusu kutafuta na kutumia mianya katika ulinzi wa wapinzani. Wachezaji wenye ufanisi wanaelewa jinsi ya kujitengenezea nafasi wao wenyewe na kwa wachezaji wenzao, na wanaweza...
  3. Mastory worldwide

    MFAHAMU MWANAMICHEZO WA KIITALIANO ALESSANDRO DEL PIERO

    Anaandika Idd Rashid ( Iddmastory). Alessandro Del Piero alizaliwa Novemba 9, 1974 huko nchini Italia katika familia ambayo baba yake alikuwa ni fundi umeme na mama yake akiwa ni mama wa nyumbani asiye na kazi yoyote. Maisha yake ya soka aliyaanza kama mlinda mlango ambapo alikuwa...
  4. Mastory worldwide

    Mfahamu mwanamichezo wa Kiitaliano Alessandro Del Piero

    Anaandika Idd Rashid (Iddmastory). Alessandro Del Piero alizaliwa Novemba 9, 1974 huko nchini Italia katika familia ambayo baba yake alikuwa ni fundi umeme na mama yake akiwa ni mama wa nyumbani asiye na kazi yoyote. Maisha yake ya soka aliyaanza kama mlinda mlango ambapo alikuwa akimfurahisha...
  5. Mastory worldwide

    SoC04 Uwezo wa teknolojia katika kukuza sekta ya kilimo

    Kilimo kimekuwa uti wa mgongo wa taifa la Tanzania kwani kwa asilimia kubwa nchi yetu inategemea kilimo ili kuzalisha malghafi mbalimbali kwa ajili ya uzalishaji wa bidhaa pamoja na kulisha taifa zima. Tangu tupate uhuru kilimo kimekuwa kikichangia katika pato la taifa na ukuaji wa kiuchumi kwa...
Back
Top Bottom