Recent content by Mastori ya town

  1. M

    Ushuhuda wangu kwa mtumishi wa Mungu Askofu Gwajima

    Gwajima sauti ya wanyonge haja wahi poteza pambano Tuendelee kusubiri tu tuwe watulivu Mungu anaende kudhilika Tanzania
  2. M

    Mazaa hawezi kusimama mbele ya Gwajima na akashinda . Never, niko pale mniite Zuchu akishinda

    Gwajima ana leseni ya Magari makubwa wanaomjibu sio saizi yake leo mama kajikaza kidogo lakini bado jpl tukutane ibadani pale ufufuo na uzima Ubungo kwa mzee baba Gwajima hajawai kuuza match niko pale Mwaka huu kumependeza Mapema Gwajima Rais 2025
  3. M

    PreGE2025 Kwa Kauli hii ya Rais "Magwajima Tuyaache", ni dhaihiri kwamba Gwajima lazima apigwe Panga na Wajumbe, Wameshindwa Kujibu Hoja zake wanataka kumtoa

    Gwajima hajawahi kushidwa match tuendele kusubiri time for Gwajima kwenye Nchi yetu hizi ni kelele za chura mda utasema
  4. M

    Hizi ni sababu nzito za kwanini Askofu Gwajima anatakiwa kufukuzwa na kufutwa uanachama wa CCM haraka sana

    hakuna bepari au machawa watakao muelewa gwajima wakati huu lakini sio mda mrefu mtamuelewa gwajima hanatosha kabisa kwenye hii Nchi yetu
Back
Top Bottom