Recent content by MASTKEY

  1. M

    JamiiForums Tanzania Advance Bank na Mishahara Yao

    wameniita kwenye interview kesho nasita kwenda mana mishahara kama ndo hivyo mmh majanga.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Advance Bank na Mishahara Yao

    Habari wana jf naomba mnifahamishe scale za mishahara ya client officer,client assistant na advisor.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mhasibu anapatikana hapa

    hahaha napita tu jamani.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili nikimaliza masomo nipate ajira?

    ww soma ufaulu vizuri mambo mengine ni mipango ya mungu.kukosa au kupata.
  5. M

    JamiiForums Tanzania TAESA kazi yao ni kufundisha jinsi ya kuandika CV?

    hawana galama yeyote ukitaka ushauri kuhusu mambo ya ajira ww nenda utapatiwa mtu atakushauri vizuri sana.mm wameshanipa msasa na nilishukuru sana mana mambo mengi nilikuwa sijui.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mume wangu anatafuta kazi

    dada yangu usife moyo majaribu mengi huja wakati wa shida na msije mkagombana kwa hili mungu anaweza yote na unapoona matatizo yanazidi ujue neema inakaribia.mungu atatenda.
Back
Top Bottom