Kuna mmoja namnukuu alisikika akisema "Samia katuulia watoto wetu, Samia katuulia wapiga kura wetu, Samia katuchonganisha na wananchi".
Nikakumbuka alivyokuwa akitamba na kauli zake za MAMA MITANO TENA.
Nikabaki nacheka kama mazuri vile.
Ni kwasababu CCM bado inafanya siasa kama wako mwaka 1990.
Inaonekana hawana strategies tena, wanajaribu kupambana na nyakati lakini nyakati inawakataa.
Alafu jamaa alikataliwa na baba yake huyu. Kalelewa na shangazi yake kwa shida, Leo Yuko kwenye nafasi anaongea bila kutafakari, inasikitisha sana, kashalewa madaraka.
Ila nimeshangazwa sana na Clouds Media , wanaripoti kifo Cha mwandishi mwenzao as if amekufa kwa ugonjwa tu kumbe kapigwa chuma Tena getini kwake.....wameogopa kusema.
Ww unaamini ni no reform no election ndiyo imeleta yote haya?
Ukishaona nchi watu wanavunja maduka na kuiba mali, ujue Kuna chuki kubwa inayotokana na gap kati ya walionacho na wasio nacho.
Kwa bahati mbaya sana NO ONE CARE.
Hivi mkuu ww unaamini Mama Samia akiondoka kwenye hicho kiti huyo atakayekuja ndiyo atakuwa na hizo vision kubwa za kuestablish hizo AI Data centers.
Kwanza Africa hayo mambo siyo priority, na ukitaka kuprove Hilo pitia ilani za vyama vya siasa ndiyo utaelewa kuwa hii Africa bado sana.
Na kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.