Recent content by Master23

  1. Master23

    Je, wajua kuwa idadi ya wapiga kura nchini inakaribiana sana na idadi ya watu wenye kutumia mtandao (internet)?

    Kama unasema wanaopiga kura kwa Fatma au Maria ni wale wanaoioppose serikali nenda jaribu kupita kwenye post ya mwisho ya Pombe twitter soma comments utajua hujui unachojua,wala ustumue nguvu nyingi
  2. Master23

    GE2020 Kuna kila dalili huenda mwiko unaenda kuvunjika

    Ndo namwambia huyo ndugu yangu kuachana na ushabiki,CDM huko vijijini inaamsha vibaya sana,yeye atakua anaongelea Chato labda!!watu wameamka sana miaka hii
  3. Master23

    GE2020 Kuna kila dalili huenda mwiko unaenda kuvunjika

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
  4. Master23

    CCM kwa hili tunamkosea sana Rais Magufuli

    Kunatofauti kubwa sana kati ya CCM na MATAGA...Nadhani naeleweka
  5. Master23

    GE2020 Kwa uelewa wake, Lissu anaamini kabisa kuwa atakuwa Rais wa Tanzania

    Mzee wangu mimi ni Ccm ila tuache ushabiki,mambo kwa ground ni tofauti saana...hali mbayaa mzee wangu...ndani moto unawaka, nje moto unawaka kwelikweli...
  6. Master23

    GE2020 Hali si shwari ndani ya CCM, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally amekemea vikali baadhi ya wanachama wanaopanga kukisaliti chama

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimecheka sanasanaa..yani Muuza ndizi anatufokea???anapata wapi ujasiri huo yani kipindi hiki kwamfano??yani anatufokea sisi???Subiri[emoji23][emoji23][emoji23]
  7. Master23

    GE2020 Kuna kila dalili huenda mwiko unaenda kuvunjika

    Kijiji gani??we ongelea kijijini kwenu tu mzee, huko kwenu inaelekea bado ni ulimwengu wa giza...mi nafanya projects vijijini mikoa tofati watu wameamka mnoo!!watu hawaitaki Ccm na Ccm mwaka huu inaanguka
  8. Master23

    GE2020 Ole Sabaya anategemewa na CCM kumng'oa Mbowe jimbo la Hai

    Halafu kasema hajafanya kitu Hai huku anasema huwezi pata kura kwa hoja za umeme, maji,barabara na mahospitali maana zipo toka uhuru...Sasa hicho kitu ambacho hajafanya ni kipi??
  9. Master23

    GE2020 Ole Sabaya anategemewa na CCM kumng'oa Mbowe jimbo la Hai

    Asante...kwanza Mbowe hajatokea milimani, kwao ni Lambo jirani kabisa na Machine Tools(Njiapanda ya Machame)all in all hakuna Ccm itakuja kutawala Hai mpaka dunia inaisha..
  10. Master23

    Uminywaji wa Habari na ugumu wa maisha ndio kaburi la Chama Changu CCM

    Kiukweli mwaka huu tumekwisha mkuu...tuweke ushabiki pembeni
  11. Master23

    Je, Lema atamuomba radhi Tundu Lissu kwa hiki alichomfanyia?

    #kawe alumni mbona kama unateseka sana??halafu mbona kama vile unalazimisha tukuelewe wakati uliandika ni Utopolo na Utapiamlo??
  12. Master23

    Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Kuna Uzi na Upu-Uzi...Sasa huu ni Upu-Uzi mzito
  13. Master23

    Ujio wa Tundu Lissu, wananchi wamelithibitishia Jeshi lao la Polisi kuwa wao ni watu wa amani na utulivu

    Umezungumza vyena comrade...ile msg ya wananchi imefika uhusikani..
Back
Top Bottom