Recent content by Master SM

 1. M

  Ndoto inanitabiria mabaya

  Asante Sana kwa ushauri wako
 2. M

  Ndoto inanitabiria mabaya

  Asanteni wadau kwa ushauri wenu, itanibidi niufanyie kazi
 3. M

  Ndoto inanitabiria mabaya

  Asante Sana kwa ushauri
 4. M

  Ndoto inanitabiria mabaya

  Habari wanajamvi, naimani mko poa, Moja kwa moja kwenye mada, Kuna kipindi niliota ndoto ya namna hiii, ndoto yenyewe ni ya shule yaani niliota Niko shuleni Advance, sikuwa na imani mbaya na ile ndoto mpaka ilipokuwa inajirudia. Hapo ipinishtua nakuanza kuulizia maana yake ni ipi, majibu...
 5. M

  Changamsha akili

  We unafika hadi mingapi muona mbali
 6. M

  Changamsha akili

  Habari Wana jamiiforum. Nawarudisha shule SWALI, Nina umri wa miaka 20 sasa na umri wa baba ni mara mbili ya umri wangu. Nikiwa na miaka 50 je baba atakua na miaka mingapi. Nawakaribisha GREAT THINKERS Update ya jibu Haya Nikiwa na miaka 20 umri wa baba ni 40( mara mbili ya umri wangu)...
 7. M

  Nimesoma Industrial Engineering Management, natafuta nafasi ya kazi au kujitolea

  Sijajibu kipi mbona mmejikita kwenye kukosoa tu bila hoja
 8. M

  Nimesoma Industrial Engineering Management, natafuta nafasi ya kazi au kujitolea

  A motivated, adaptive, and responsible ndustrial engineering maagement graduate seeking a position within which i will utilize my proffesional and technical skills. I have recently graduate at Mzumbe university taking Bsc in industrial engineering management and i currently looking to apply my...
 9. M

  Watanzania tusipounganisha mitaji tutadhibitiwa na Wachina na Wazungu

  Unashauri nn kifanyike Mana nchi ni yet sote
 10. M

  Nimeota nanyongwa

  Sawa lakini haifai kulidharau swala kama hili
 11. M

  Nimeota nanyongwa

  Ushauri
 12. M

  Nimeota nanyongwa

  Habari wanajamii, Usiku wa kuamkia leo nimeota kitu cha kutisha sana, nimeota kuna mtu ananinyonga shingoni kwa muda wa kama dk 1 hivi nikapambana akakimbia. Inawezekana nimwana kilinge anajambo lake kwangu. Msaada wenu nimuhimu dhamiri yake/yao isinipate.
Top Bottom