niende kwenye mada moja kwa moja, baada ya kujichanga sana nimefanikiwa kupata pesa ya kuanza maisha ya kujitegemea
Pesa ya kodi (chumba 30000/= ) kwa mwezi
Napatikana dar es salaam,
Kitanda, godoro, n.k....
Shida yangu ni hii ndugu jamaa na marafiki
Nahitaji vitu vya ndani vilivyotumika...