Maths killer, mwenye mbinu nyingi na kuifanya maths kuwa kama civics

HESABU=Taaluma ya utambuzi wa namba.
HISABATI=Taaluma inayojihusisha na matendo katika namba,aljebra na jometri!
Nashukuru kwa uchambuz wako, na kukubaliana na mim kimantik hisabati na hesabu zina maana sawa ambayo wote watazungumzia NAMBA
 
Nitangulize Salamu, habarini wakuu
Kwa mara nyingine nakuja na hii. Mimi ni muhitmu wa kidato cha 6(sina elimu zaidi ya hapo) ambae nina uzoefu mkubwa katika kufundisha somo la hesabu (O & A levels), nimefundsha sana tuitions centre kwa mikoa ya Dar na Morogoro

Kwa sasa nipo Mbeya kwa mwenye uhitaj na mwalmu wa maths napatikana mbeya mjini au individual program

Na kama hutaamini uwezo wangu nitafundsha wiki kama trial, ikiwa wanafunzi wakinikataa kisa somo halijaeleweka nipo tayar kurudisha fidia za kupoteza muda(hiyo wiki hautanipa ata shilingi 10)

Kuhusu mshahara ni maelewano na najua kipindi hiki ni kigumu

Napokea challenge yoyote ya maswali

Mawasiliano yangu njoo pm(inbox)

Nakaribsha mawazo, ushauri na hamasa
[HASHTAG]#mastermaths[/HASHTAG]

Mkuu kama unataka maswali kuna matangopoli utasanda tu,
Koo usipende maswali huku unatafta hela
Mwenyewe mwalimu kwa iyo field nlivoona huu uzi nikajua Mathmagician

Kila lakheri lakini ukikutana na tangopori niletee pm

Swali kukosewa ilo linajulikana au mtu aliweka swal katka mazingira ya kutokufanyika
Lakn kwa majina ya matango pori huwa yanafanyika kihun hun tu (assumptions kibao)
Na njia maarufu kwa matango pori n checking method...
 
kwanini hujaenda chuo? mfano ungesoma education in mathematcs au with education mkopo si ungepewa wote hapo mzazi hangeusika. au kama uli disco funguka.
 
kwanini hujaenda chuo? mfano ungesoma education in mathematcs au with education mkopo si ungepewa wote hapo mzazi hangeusika. au kama uli disco funguka.
Nilikosa mkopo yan ata boom, na hii ilitokana na chet changu cha kuzaliwa kaz ya baba ilikua n mechanical engineering, nilifanya kua appeal lakn hali ilikua vile vile apo kumbuka anko ndio yupo madarakan
Nikawa sina namna zaid ya kukubaliana na matokeo
Na nilipofanya tasmi nikaona "chuo is not for everyone" kama majiran zangu wa forex wanavyosemaga(joking)
 
Una division ngapi egm, mwenyewe nimesoma egm mkuuu
 
Elimu ya juu kwa kukosa sapot coz mim nina mzaz mmoja (mama) ambae mm namlea ad kufikia form 6 kwa pumzi yangu ya mwsho
Hii ilinifanya tangu namaliza kidato cha 4 nianze kushika chak napiga A level uku napata mishe za kufundisha na apa nilipofikia naamin elimu n uwezo plus ujuz na sio vyet binafs naamua niwekeze nguvu yangu katka kufundsha ili maisha yaende kwa mim na mzaz wangu
Ila najua Mwanzo n mgumu
Mwenyezi Mungu akupe subra umtunze mzazi wako.
 
Back
Top Bottom