Recent content by Master C mimd

  1. M

    Ni Kosa gani la ovyo ulilowahi kufanya tangu uanze kuendesha gari?

    Niko masaa kwenye zile panda shuka ukiwa wakaribia mikumi ukiwa watokea Iringa,kwa mbaliii nikaona mbwa inavuka barabara na amemaliza yuko kwenye ile chaki ya njano anaingia zako kwenye majani huko,moyoni si nikasema ameshavuka tyri anaenda zake porini so sikupunguza mwendo....bwana weeee ile...
  2. M

    Ushuhuda: Tumbo la kuhara safarini kwenye basi la abiria

    Metro ni mziki mwingine huo...yaan nilikuwa naharisha kabla ya safri nikachukua huo mzigo nikauywa walahi nilikuwa natanua miguu nitakavyo...nilisafri poa mno hadi si kuamni kama nimefika salama kabisa
  3. M

    Polisi waagizwa kuwakamata wanaofunga ving’ora na vimulimuli kwenye magari

    Ilinikuta hiyo siku moja,napisha gari kwa adabu kuja kucheki ni muhuni tu cjui wa wapi yule
  4. M

    Hivi huwezi piga rangi gari bila kupiga puti?

    Ukipata sehemu wanayochangany vizuri rangi huwezi ona chochote ila bei huwa juu mno maana robo tu wanakwambia 35000 ila hizi za makanjanja wa kawaida robo ni 7000 ndio hizo zikifanana omba Mungu
  5. M

    Naomba ufafanuzi kuhusu usajili wa plate number za magari

    Labda niulize kidgo mkuu,hvi mfano hawa wanaoagiza magari na kuwekwa yard huwa yanakuwa na usajili wowote wa awali au huwa inakuwaje???
  6. M

    Mambo haya yanaweza kuharibu battery ya gari yako. Ni vema kuyaepuka

    Gari ilienda ina matatizo mengine imerudi inachemsha sijui hata walichokonoa wapi, tukawarudishia ndio wanahangaika nayo but inaonekan imeshawashinda haijakaa sawa tunaambiwa battery tena imebutuka.....yaani kuna mafundi unaweza ukawapika ulie ugali, ila watailipa tu hiyo battery
  7. M

    Mambo haya yanaweza kuharibu battery ya gari yako. Ni vema kuyaepuka

    Umenifungua mkuu ,maan nilikuwa natafta sababu nikakosa maan sikuwa na mtu wa kumuuliza
  8. M

    Mambo haya yanaweza kuharibu battery ya gari yako. Ni vema kuyaepuka

    Dooo nahisi nimepata jibu,kuna gari nilipeleka kwa fundi hizi Noah siku naenda icheki gari wakasema battery iko chaji naenda cku nyingine naambiwa bettry imebutuka kimfuniko kimoja wapo kilitoka kabisa, sasa ndio nimepata jibu kwanini lilibust yaan watanilipa maan nilikuwa najiuliza ilikuwaje...
  9. M

    Msaada: Nahitaji mtu wa kunifundisha gari

    Jiamni tu..nilijifunzia manual siku tatu tena kwa mtu tuu ,nilienda kujifunza baada ya kuona mzee kanunua gari na hawezi nipa gari yake niendeshe hadi niwe na leseni.Baada ya hapo nikawa naingia barabarani changamoto zilikuwepo ni kile kiuoga fulani hvi but nilikuja nikazoea na hapo naingia...
  10. M

    Pancha kwenye upande wa tairi

    Hiyo dawa niliwahi weka kwenye mipira hii ya kuchezea udundaji wake tu ulibadilika, haikuwa inadunda vizuri kama ilivyokuwa kabla ya kuweka hiyo oko
  11. M

    Naomba ufafanuzi kuhusu usajili wa plate number za magari

    Ha ha niliumiza sana kichwa kwa lengo la kutaka kujua tu, maan niliikuta gari showroom nikalipia tukaifanyia usajili ila kuingia nayo kitaa nakuta plate number zimepaa kinoma sasa ikawa waswasi wangu isije kuwa niliuziwa gari iliyotumika, hiyo ndio sababu ya kuandika huu uzi
Back
Top Bottom