katika maisha kuna ule usemi wahenga walikuwa wnatumia wakiwa wanasema kikulacho kinguoni mwako, basi usemi huu umekuwa wa kwel katika maisha yetu ya kila siku ambapo wale tunao waamini sana na kudhani nkuwa ni marafiki zetu wa karibu ndio hao ambao wanaongoza kwa kutusaliti. mfano katika moja...
Wadau, kumbe kuna watu wanamiliki vyombo mbalimbali vya kiteknolojia kama simu jana na komputa ila bado wamekuwa na ufinyu wa kujua taarifa mbalimbali kupitia vifaa vyao.
Mfano siku ya jana nilikuwa nikiongea na watu fulani ambao ni marafiki zangu kuhusu uwepo wa teknolojia ya akili mnemba ila...
kuna wakati mwingine hizi akili mnemba nazo zinafanya makosa sana hasa kwenye kujibu baadhi ya maswali. hapa ndipo unakuja ule usemi wa chakuambiwa changanya na zko.. yaaani wakati anakupa majibu husika hakikisha basi unapembua na kuchambua kilichosahihi na kuacha kile ambacho sio sahihi.
Leo nikiwa mishemishe nilipata kusikia mahojiano ya msanii mone centrozone akielezea kuhusu issue ya nafasi ya upendeleo, ambapo anafunguka na kusema mwaka 2017 alipata kuandika ngoma yake na kipindi hikohiko alipata shavu la kutumbuiza katika jukwaa la fiesta chini ya marehemu Ruge Mutahaba...
Kwa upande wangu natamani sana kuona wanafunzi hasa kwanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita wanapewa elimu ya kutosha ya kujitegemea.
Kwamfano nchi yetu kuna washauri na watu waliobobea kwenye masuala ya teknolojia ya mtandaoni, pia watengeneza maudhui
Nimejaribu kuangalia hii picha mara kwa mara na kujifunza baadhi ya mambo kadhaa.
1. Ukifika muda sahihi utapata, hata kama umejaribu mara nyingi ukashindwa lakini amini wakati wako ukifika basi ndio wakati sahihi wa kupata
2. Ukiangalia saa hizo kila moja inasema muda wake baasi tujifunze ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.