Recent content by masonya

  1. M

    Uwezekano wa kuzuia Uchaguzi kwa Maandamano siku ya Uchaguzi.

    Ila uhalali wa kuiba kura upo?
  2. M

    Kihasibu hatuna cha kumdai Mo Dewji, Kanunua timu kwa bilioni 20 na bado anaendelea kuigharamia, tutake nini zaidi wanasimba ?

    Anataka fedha zake alizotoa kwa hiari Kama bilioni 20+zijumuishwe kwenye mtaji usome bilioni 40+.au hawezekani ziwe mkopo.fuatilia
  3. M

    Tetesi: Dejan ashinda Kesi, Simba kumlipa 500 million

    Mikataba Ina vipengele vingi.kuna vipengele kadha hawakumtekelea .Kama apartment ya pekeeake,wakisafiri kulala room pekeake.gari havikutekelezwa.kisheria Simba alikiuka makubaliano so alikuwa na haki kuuvunja na kulipwa
  4. M

    Tetesi: Dejan ashinda Kesi, Simba kumlipa 500 million

    Itakuwa unajua mengi.maana madereva walikuwa wanatishia kugoma kwa kukatwa posho za safari, ikiwemo gari inapoharibika na kuka muda mrefu kungoja matengenezo.
  5. M

    Kwanini Mzanzibar Shaka Hamdu Shaka ni Mkuu wa Wilaya bara, na Zanzibar hakuna Mtanganyika anayeongoza?

    Sema wenye shida ya muungano ni Wana CCM wa Zanzibar na viongozi labda.watanganyika Kenya,Uganda,Burundi,msumbiju,Kongo ni muhimu.tuambia faida gani kwa watanganyika wanapata?mwambieni mama Kizimkazi avunje muungano tumewapa fursa kwa mara nyingine.na Kama mwinyi ni mkuranga tufanye butter trade...
  6. M

    Baada ya kufanyiwa Misa Kanisani General Ogolla atolewa Kwenye Jeneza na kuzikwa akiwa na sanda tu

    Ni utamaduni wa waarabu tu,miti ni shida,hakuna mbao.hata kulala,kukaa ni chini kwenye mikeka,mazuria.kumiliki kitanda au kiti Cha mbao miaka hiyo,kabla UCHUMI kupanda kutokana na mafuta na gesi ni lazima uwe tajiri
  7. M

    Mtangazaji mpira Azam Tv anaboa sana

    Kweli uko sahihi
  8. M

    Suala la Jezi Zilizo Kamatwa Limeishia Wapi? Waziri Alitudanganya?

    Nimejiuliza Sana hii SI waziri,Wala klabu zote wapo kimya. Hapo ujue hizi klabu zinaujumiwa Sana Zina uwezo wa kujiendesha Kama watapa support ya serikali. Ukute milioni 500 za stars kutoka kizimkazi ni faida ya jezi
  9. M

    AFCON: Shabiki wa Algeria atimuliwa Ivory Coast

    Atamani kuwa Spain kivipi?kwanini sio Saudi Arabia,Iraq hata Turkey.anajua jinsi ambavyo waarabu hawapendani ,vita zote zinazoendelea huko huwezi sikia wakimbizi wakienda nchi za kiarabu za kislam.wazunhu ambao wanawachukia ndio kimbilia lao
  10. M

    Nashauri Mapinduzi Cup ya Mwakani Belouizdad na Usm Alger zialikwe ili Kuongeza Chachu na kuleta ushindani zaidi

    Kwa hiyo milioni 100? Yanga,Simba wanashiriki kwa heshima tu ya nchi,ni hasara Sana.
Back
Top Bottom