GPA tunaziona kwenye michango yao....., Gulu kaachwa mbali sana na Pina.hapo ndo utajua kuwa kuna GPA za mchongo kama ilivyokuwa PhD ya Bwana yulee....
Acha vitisho.
Lumumba mmezoea kunyamazisha watu kwa kuwateka,Risasi, kuua. Humu mmegonga mwamba. mtaandikwa tu.
Mwisho mnapaswa kujitathmini.....,Mmeua ,mmepoteza ,watu mmeteka watu,mmejeruhi watu na vitisho vya kila aina Bado watu wanawakosoa. kubalini yaishe Acheni watu wachague /...
Unajua Mwenye MAPEPO huwa anaongea asiyo yajua?. Mbaya zaidi huwa anadhoofisha Afya yake kwa Maslahi ya wengine JIFIKIRIE TENA kea utumwa waki wa fikra ndani ya CHAMA CHA WAFUGA CHATU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.