Recent content by Maskati

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli,hatukukuchagua 'ututishe'. Tuongoze na si 'kututawala'!

    Hapo umepaona, ni mfumo wetu m'bovu ndiyo uliomuweka madarakani, na anajivunia sana kuwepo kwa mfumo huu. Tusipobadili huu mfumo tumekwisha. Option b ni kumwaga damu tu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli,hatukukuchagua 'ututishe'. Tuongoze na si 'kututawala'!

    Sheria yetu inasemaje kuhusu kumtia mtu hatiani, au akisema Bashite 0 na bwanake ndo tayari mtu ana hatia?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli,hatukukuchagua 'ututishe'. Tuongoze na si 'kututawala'!

    Wakifunga jf hasira tulizonazo tutatembea na vipande vya nondo kama tutakosa milipuko, taifa linavyoendeshwa inatia hasira isiyo na kikomo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli,hatukukuchagua 'ututishe'. Tuongoze na si 'kututawala'!

    Heri watetezi wa wauza unga kuliko kiongozi asiejua tafsida katika kila kimtokacho kinywani mwake, wala diplomasia hana kabisa. Nahisi akiwa sirini anatumia ngada.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli,hatukukuchagua 'ututishe'. Tuongoze na si 'kututawala'!

    Hivi wewe,jema lamtu huyu ni lipi? Nina uhakika wa tz tumeuingia mkenge.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli,hatukukuchagua 'ututishe'. Tuongoze na si 'kututawala'!

    Mtukufu aendaye chooni? Hapana, pombe si soda.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga tena simu Clouds, amsifu Diamond na kusema atashughulikia kero za wasanii

    Nawashangaa, kila asemalo sizonje watu wanaunga mkono,hata akim mimba mkeo utamsapoti tu, shenzi taipu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga tena simu Clouds, amsifu Diamond na kusema atashughulikia kero za wasanii

    Pia hatuzitaki hotuba za pombe mubashara. Hili la domo kuwaombea wauza chipsi inanikumbusha m'bunge mmoja zamani aliyeomba kandambili ziongezwe unene. Boda2 mwisho saa 6 usiku, baa hakuna kukesha hizo chipsi watakula mbwa?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mama Mwl Janet Magufuli ni mama wa mfano wa kuigwa Tanzania pamoja na maneno yanayosemwa..yuko imara

    Kweli, li ume halijui tafsida wala diplomasia.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli akihamia CHADEMA, utukufu atakaopewa na BAVICHA ni zaidi ya Papa

    Mpe jicho kama umemhusudu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kufuatia Mabadiliko CCM: Vyama Vya Upinzani bado vina Ubavu wa kuiondoa Madarakani?

    Sijaona mabadiliko zaidi ya kupunguza viongozi kwa nia ya kubana matumizi, nia yao ifikapo 2019 mkutano mkuu uwe na wajumbe watano.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

    Imesahau sifa moja. "Ni malkia wa nguvu"
  13. M

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

    Kwa vile naye aliacha yake akashobokea ya watu, huku kwetu tunasema "maiti imemng'ang'ania shekhe"
  14. M

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

    Kwako pekee ndo mheshimiwa, kwetu sisi ni Bashite 0 brain.
Back
Top Bottom