Recent content by Masinki

  1. Masinki

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wabunge wa sasa waliokatwa kugombea CCM hawa hapa

    Ndio alikuwa anawadanganya huko kanisani kwake???
  2. Masinki

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wabunge wa sasa waliokatwa kugombea CCM hawa hapa

    Nafasi zipo nyingi waambie wagombee wenyeviti wa vijiji
  3. Masinki

    JamiiForums Tanzania DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

    Kweli ??? 😁😁
  4. Masinki

    JamiiForums Tanzania Karia Akiendelea Hivi, Yanga hatumpi Kura Mama Samia

    Mna mawazo ya kijinga sana sasa Samia anahusika vipi na huyo Karia ??
  5. Masinki

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ataka Wakurugenzi (DED) na Wakuu wa Wilaya wanaotaka kugombea kutoa taarifa mapema

    Jitahidi kuna wilaya zipo wazi nyingi tu
  6. Masinki

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ataka Wakurugenzi (DED) na Wakuu wa Wilaya wanaotaka kugombea kutoa taarifa mapema

    Achana na vijana wa mihemuko hao
  7. Masinki

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ataka Wakurugenzi (DED) na Wakuu wa Wilaya wanaotaka kugombea kutoa taarifa mapema

    Ngoja nisogee kuna nafasi ya DC mmoja hivi najua anautaka ubunge, wadau punde mtasikia nimeula huko kwenye Udc niwe nafokea wananchi
  8. Masinki

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa uongozi wa Lissu na Heche umeshindwa kufanya mambo ya msingi yafuatayo

    Namba Tatu hapo ni suala lake binafsi halihusiani na nafasi yake ya uenyeketi wake, kwani aliwalazimisha mchangie, ndio maana huwa sichangii michango ya kijinga.
  9. Masinki

    JamiiForums Tanzania Makao makuu ya Chadema Yako Mikocheni DSM lakini Mwenyekiti Mpya Mh Tundu Lisu anaenda kupokelewa Ikungi Singida, huu siyo Ukabila kweli?

    Hivi ndio tumefikia kiwango hiki cha kufikiri, sasa hapo ukabila unahusika vipi ?? Kwahy Wasira alivyoenda Bunda juzi ulikuwa ukabila ??
  10. Masinki

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waliomshauri Rais Samia kuwatengua Nape na Makamba, wamempotosha. 2025 Rais Samia atakwama!

    Kwamba wao ndio wapiga kura pekee !! Nchi hii ina watu wengi wenye uwezo wa kusababisha ushindi kwa Mama Samia
  11. Masinki

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk aandika barua ya kujiuzulu Ubunge

    Achana na huyo kiazi, Bumbuli imemkaa kichwani kama nywele zake
  12. Masinki

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk aandika barua ya kujiuzulu Ubunge

    Huyo labda hadi kifo kimuondoe
  13. Masinki

    JamiiForums Tanzania Sema uongo wako tucheke

    Nape ndio refa wa uchaguzi
  14. Masinki

    JamiiForums Tanzania Sema uongo wako tucheke

    Anko jinga sana wewe kama Magoma
  15. Masinki

    JamiiForums Tanzania Sema uongo wako tucheke

    Uongo wangu kwa siku ya Leo 1. Mimi ndio nimemtuma Mzee wa Magoma wa Yanga aende mahakamani ili tumuondoe Eng Hersi, alafu baadaye nichukue timu. 2. Vijana wa Gen Z Kenya nawalipa ili kisieleweke 3.Nitagombea Urais wa Tanzania 2025 4. Kuanzia leo siogi hadi Kmc awe bingwa NBC. Sema na wewe
Back
Top Bottom