Recent content by Masikini_Jeuri

 1. Masikini_Jeuri

  Wanafunzi wote walio Vyuo Vikuu wasio na sifa kuondolewa. Vyuo kurudisha fedha za wanafunzi hewa

  teh teh teh teh ukiulizwa na wanao hiyo picha inawakilisha nini utawajibuje? heheheheheheeh
 2. Masikini_Jeuri

  Wanafunzi wote walio Vyuo Vikuu wasio na sifa kuondolewa. Vyuo kurudisha fedha za wanafunzi hewa

  hahahaha we jamaaa muhurumie mwenzio , si vizuri hivyo Mungu hapendi
 3. Masikini_Jeuri

  Hawa ng'ombe wanapatikana mkoa gani?

  wakuuu karibu woote mmekuja na majibu ya mstari mmoja, naombeni wote mliojibu hii post kaeni na mtulie tuandikieni majibu yaliyojitosheleza , hapa si MMU wakuu, tunajifunza na kuelimishana , kwa mtindo huu sie tusojua tumeshindwa hata kuelewa mantinki hasa ya majibu yenu ya mkato
 4. Masikini_Jeuri

  Hawa ndo Kuku wa Malawi

  nami ni pm namaba zako niko karibu na mpakani
 5. Masikini_Jeuri

  Kwa wale wanaotaka Mbolea ya kuwauwa wadudu waharabifu na kuzalisha mazao kwa wingi

  Wakati tunajiandaa kuitumia nikuulize yafuatayo 1. Imekwishafanyiwa utafiti na majaribio hapa nchini? 2. Kama jibu ni ndio , tunaomba chapisho la wataaalamu wa hapa nchini kuhusiana na hilo ili tujue faida na athari zake iwapo haitatumiwa kwa kufuata masharti
 6. Masikini_Jeuri

  Wanaume, haya mambo si ya kufanya

  Haraka sana nipee namba ya shost ako
 7. Masikini_Jeuri

  Wanawake wa MMU ukiwaambia tu umeoa, PMs zako hawafungui!

  aaaw hommie umeniwahi, was going to say that let me add pia na abcd za kumkeep him on his right tracks hahahah
 8. Masikini_Jeuri

  Ngabu na wanawe

  De nada Papa Nyani Ngabu , welcome to the club:):):) but no worries bro my son will make you a proud son-in-law too:D:D:D
 9. Masikini_Jeuri

  Fahamu njia nzuri za kuondoa magadi (salts) shambani

  Mods tafadhali iwekeni hii Sticky posts cc Paw
 10. Masikini_Jeuri

  Msaada: Nyani wanakula kuku wangu

  cc Nyani Ngabu tunaye humu pia :D:D:D
 11. Masikini_Jeuri

  Biashara ya Ufugaji wa Kuku wa kienyeji na Masoko yake

  kama kipato unacho tembelea mtandao wa alibaba, uagize kutoka U china ni rahisi kuliko bei za hapa nchini na jirani kenya lkn uwe na uwezo wa kuchukua walau kasha moja kubwa
Top