Recent content by MASIKIN JEURI

  1. MASIKIN JEURI

    Tanzania na Burundi zaondolewa EAC single customs union (Uganda ,Rwanda na Kenya zaungana umoja )

    Kabla ya kuisoma habari yote, nipende kukushukuru kwakutuletea habari hii kwani nilikuwa nasubiri matokeo ya viongozi hawa watatu kwa hamu kubwa, nta comment mengine baadae!
  2. MASIKIN JEURI

    Usaliti mkubwa ndani ya Stanbic bank, siri nzito zavuja baada ya MD kuenguliwa

    Duh, kulinda siri za mteja kwa maangamizi na juu ya wa tz walalahoi, kwa nini wasingetoa taarifa hizi BOT ili account zao zishikiriwe kwa maslahi ya taifa! anyway, wanaojua taratibu za benki watujuze.
  3. MASIKIN JEURI

    Usaliti mkubwa ndani ya Stanbic bank, siri nzito zavuja baada ya MD kuenguliwa

    From: Awale, Bashir B Sent: Tuesday, February 08, 2011 8:26 AM To: Tanzania EXCO Members Subject: Dowans/Stanbic/Meremeta/Group5/Tanesco If any reporter or external person calls with respect to the above, please refer them to Abdallah or I. Please advise your teams all the way down. AS, our...
  4. MASIKIN JEURI

    Ziara ya Obama; Kenya wazidi kuitenga Tanzania, waishawishi Burundi kujiunga G4

    Mimi nimekaa na wakenya kwa muda mrefu sasa, kwa ukweli hawa jamaa wana roho kwatu, hawana upendo wala uvumilivu wa fikra zinapopingana. wanatuona watanzania kama watu wa kuburutwa tu yaani tusioweza kitu chochote. wanatudharau mpaka bhaasi, mimi nikiwa nao napenda napenda kuwa piga chata za...
  5. MASIKIN JEURI

    Si vyema na heshima kwa great thinker kushabikia kauli ya sugu!

    Nyoooo! ushindwe kabisa wewe kibaraka na mtumwa wa fikira finyu. wewe kwa upofu wa fikira alioufanya Pinda unataka aheshimiwe kwa kauli au neon zuri lipi?
  6. MASIKIN JEURI

    Ukweli kuhusu wafanyakazi waliositishiwa mikataba ya kazi na FINCA Tanzania MFC Ltd

    Poleni sana wote mliotemeshwa mnuso, kimsingi mimi nimeona matangazo mengi ya ajira hapo finca lkn sijawahi kutamani kufanya kazi Finca hata siku moja. Ninavyoiona Finca ni kwamba viongozi wake hawajaenda shule ndo maana hawahitaji mabadiliko, wanataka wafanyakazi vilaza ili wawatumikishe...
  7. MASIKIN JEURI

    Daftali la mpiga kura linarekebishwa lini, ili nipate kadi ya mpiga kura 2015

    nifafanulie vizuri mkuu, vitambulisho vya mkazi ambavyo vinapatikana wapi, au passport ya kusafiria, au vitambulisho vya namna gani. nipe details kidogo ndugu mwana jamvi
  8. MASIKIN JEURI

    Msichana amuua boyfriend wake kwa kumchoma kisu baada ya kulazimisha penzi kwa nguvu..!

    "Msichana amuua boyfriend wake baada ya kulazimisha penzi" huyu msichana alishindwa nini ku chill down nakumpa ngono zembe boyfriend wake kwakuwa wamesha amua kuunganisha sehemu zao za siri bila ndoa? na paka anaitwa ndani sehemu waliyozoea kulia hilotunda hakujua kuwa anaenda kupewa mambo? huyo...
  9. MASIKIN JEURI

    Baba na Mwana watatoka lini gerezani?

    Mwenyezi MUNGU awajalie afya njema, 2015/2016 rais ajae awatoe. hawa watu nilisikitika sana kwa tuhuma walizo bambikizwa, ni sawa sawa na mtu aliye bambikizwa kichwa cha mtu, sema yeye sijui alinusurika vipi. lkn matukio kama haya ni mengi mno, watu hadi wanahukumiwa vifo,maisha gerezani kwa...
  10. MASIKIN JEURI

    Break news - habari nzuri sana kwa wanachama wa nssf, miezi 6 ya kusubiri byebye

    THubutu! nani arudi nssf? LAPF, GEPF,PPF, na wengineo hawapo. kwa wale wanaoajiriwa msijaribu kujiunga na nssf mtajuta. kuna mama mmoja na watoto zake alioachiwa na marehemu mmewe mpaka ameamua kuachilia mbali mafao ya mmewe kutokana na kero za nssf. nilitaka nichukue mafao yangu nssf hapa...
  11. MASIKIN JEURI

    Kwa wale wanaopotosha watu kuhusu mishahara ya walimu soma hapa!!

    Duh, umenitamanisha? haya bhana safari njema unatukuta 2016.ngoja sisi tuzidi kupambana na polisi wa pinda, cjui watatunusuru mpaka hiyo 2015
  12. MASIKIN JEURI

    Kwa wale wanaopotosha watu kuhusu mishahara ya walimu soma hapa!!

    yawezekana aliyeiandika nae hajui taratibu za kuandika taarifa kwa umma, hata "internal memo" huwa ina tarehe, iweje hii hata correspondence haina? yaweekana nae aliinginzwa huko kwakuwa shangazi yake yuko humo, msamehe bure. lkn hii taarifa inaweza kuwa sahihi
  13. MASIKIN JEURI

    Kwa wale wanaopotosha watu kuhusu mishahara ya walimu soma hapa!!

    asante kwa taarifa mreta uzi huu "look"
  14. MASIKIN JEURI

    Serikali yatoa tamko kuhusu kauli ya waziri mkuu...yadai polisi wanaruhusiwa kupiga na kuua kisheria

    ------ kabisa huyu pinda, jana nimemikia akiropoka polisi wapige raia kwa kukiuka taratibu na sharia za nchi. Hivi huyu pinda aliyepinda hajui kuwa polisi wake hawana maadili mema kwa nchina raia, hajui kwamba polisi wake wanaweza kumbambikiza mtu yoyote kosa lolote? hajui kuwa polisi hawahawa...
Back
Top Bottom