Chaputa nayo ni ujenzi huru hivo epuka kabla jehanam haijakuita.Jehanam ni pale tu free off charge.Utakua ni mfuu chini japo unatembea .Pia kufanya kabla hujajua madhara sio dhambi ,dhambi ni pale unapo ambiwa ina madhara pull na hautaki kuacha.ipo siku utaamini kwa nini ni .
Natafuta mwanamke wa kufunga naye pingu za maisha kwa ndoa halali kutoka kanisani, mimi ni mwanaume niliekamili.
Mke nimtakaye awe ana mapenzi ya kweli, elimu kuanzia la saba na kuendelea awe na 18-30 miaka. Elimu yangu ni chuo kikuu, nimeajiriwa.
Kwa alie serious naomba ani pm
Jina langu ni Gasper umri wangu ni miaka 33, natafuta mwanamke wa kuzaa naye mtoto ,nitamtunza na kumtimizia mahitaji ya yote ya msingi anayo pata mwanamke.Umri wake uanzie miaka 27 nakuendela.atayekua tyr ani pm ili tuyajenge.sipaswi kukosolewa kwan kila mtu anahaki ya kufanya kitu ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.