Rais angeunda tu tume ya uchunguzi dhidi ya upigaji na mali walizonazo kina Gambo, Makonda na Sabaya pamoja na kutumia madaraka vibaya.... Ungeshangaa. Lakini ndio hivyo tena nchi ya upigaji na laana!
Ukiacha kovu lake rais SSH (na wana ccm wote waliochaguliwa) lililotokana na wizi wa uchaguzi wa mwaka 2020 uliowaingiza madarakani, ameonyesha siasa nzuri bado inawezekana Tanzania. Anakwenda polepole na wapinzani, anawaachia wafungwa walioonewa, anafuta kesi zisizo maslahi kwa Taifa, kwenda...
WEWE UNAISHI NCHI GANI? MBONA RAIS ALISHAENDA MPAKA NYUMBANI KWAKE MWAKA JANA KUMJULIA HALI? KWENYE SIASA ZA CCM , UPINZANI NA TANZANIA HUWEZI KUMWACHA LOWASSA NJE. AWE NYUMBANI, HOSPITALINI AU OFISINI. MUNGU AMPE NAFUU MZEE LOWASSA.
Kuuza wanyama hai hilo halikubaliki. Hata kama muuzaji ni mimi au wewe halikubaliki. Zitto ni kiongozi dhaifu, hilo linajulikana. Wa aina yake wanatumiwa na yoyote kwa maslahi ya wanaomtuma. Ndio historia yake. Fufueni TAWICO or
equivalent ili anaetaka kununua na kula nyama pori aruhusiwe...
Mungu akulinde Rais Samia Suluhu Hassan. Unaitambua haki, kweli na ukweli mtupu na kuufanyia kazi kwa kadiri mazingira yanavyokuruhusu. Kama Mwanasiasa, Tanzania itakukumbuka. Kuna watu wanasema Waislam waliopata madaraka makubwa Tanzania walionyesha roho nyoofu kuliko Wakristo. Tunalipingaje...
Gambo anajulikana kihistoria kama kiongozi mpenda majungu, mpiga dili, mtumia madaraka kwa faida yake, mfujaji wa pesa za umma, msaka michango kwa watu binafsi kwa nguvu na vitisho akiwa kavaa koti la Regional Commissioner, afadhali sasa Mbunge pekee aliyekuwa katarajia uwaziri wa utalii. Tangu...
Hongera Chadema, hongera Mnyika John John. Agenda zenu zimeshiba. Hata msipofanikisha zote, huo ni mwanzo mzuri.Muhimu mmedhihirisha kwamba nyie ni chama kikuu cha upinzani Tanzania na mnajitambua. Mmeweka mitego vizuri politically. Hiyo ndio siasa hai. Tanzania kwanza. Kila wakati. Hongera sana...
Tusimpe Rais wetu majina yasiyostahili. Tumpe heshima yake ni kiongozi wetu wa nchi kwa wakati wake. Pia waziri Nape sio lazima kumweka mkuu wa nchi ukutani ili hatimaye tuseme lolote jema au baya. Jaribuni kujibu hoja kwa hoja. Pale ambapo wanadhani hawaelewi ni haki yao kusema. Ni kazi yako...
Jambo la afya kwa mshikamano wa Taifa letu. Hongera rais kwa kufuata utengemano na amani ya nchi. Hili linakupa heshima wewe zaidi kuliko hao wageni wako toka upinzani. Wanavyozidi kuonekana ikulu kila wakati ndio na umaarufu wako unapanda na wao kushuka kisiasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.