Na; Mashaka Siwingwa
Visingizio ni tabia ambayo wengi wetu sana tumejijengea na tunaendelea kujijengea siku hadi siku. Visingizio ni ile hali ya kutaka kutafuta pingamizi linalokufanya usifanye jambo fulani na mara nyingi hutolewa kwa njia ya kauli zetu mbalimbali.
Binadamu tumekuwa wenye...
Na; Mashaka Siwingwa
Watu wengi sana wamekuwa wakiamua kufanya au kuanzisha biashara na kupanga malengo kwa biashara hizo. Hata hivyo, biashara hizo huanguka na kupotea kabisa kwa mtaji pasipo na kueleweka ile hali mtu huyu aliweka malengo na kuyasimamia. Lakini watu wengi wamekuwa wakisahau...
i) Kupata wazo kutokana na taaluma yako; wazo la biashara linaweza kutokana na taaluma yako. Unaweza kuangalia fursa zilizopo katika taaluma yako kwa maana ya fani ambayo ulisomea au ile ambayo unaifanyia kazi na kuamua kujiajiri au kufungua biashara ambayo inaendana na taaluma yako.
Mara...
(Kwenye kila sababu elfu za kukata tamaa, ipo sababu moja ya kuendelea kupambana!)
Na; Mashaka Siwingwa
Katika maisha haya ya kila siku kuna mambo mengi ambayo tunakuwa tunapitia wakati tunapambana kusaka ridhiki. Hata hivyo, yapo mambo mbalimbali ambayo yamekuwa yakitukwamisha kusonga mbele...
Na; Mashaka Siwingwa
Hata siku moja isitokee mtu yeyote akuambie kwamba mafanikio katika maisha ni rahisi. Majaribio ya kutimiza ndoto za mtu ni vita kubwa sana.
Ni vita ambayo kila mtu anatakiwa kupambana bila mipaka. Hii inatokana na ukweli kwamba vipo vitu na wapo watu mbalimbali ambao...
Utangulizi;
Tangu taifa letu lipate uhuru mnamo tarehe 9 Desemba, 1961 kumekuwepo na hatua kadha wa kadha za kuufanya mfumo wetu wa elimu uendane na mazingira yetu ya hapa nchini na kuendana na falsafa ya Afrika kwa ujumla. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto na ukwamishaji wa makusudi kabisa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.