Recent content by Mashaka Mgeta

  1. M

    Magazeti ya Mtanzania na Mwananchi yafungiwa na Serikali!

    Sijui ni ukosefu wa UMAKINI ama vipi! Itakuwaje gazeti lifungiwe siku moja kabla ya kuchapishwa kwa tamko la Serikali? Kwa maana taarifa ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari imetolewa Sept 28 ikielekezea gazeti kuanza kutumikia kifungo Sept 27. Ama iko aje?
  2. M

    Tunasimama wapi kati ya Korea Kaskazini na Korea Kusini?

    Wanajamii. Nimefuatilia historia ya nchi hii na kuona jinsi (awali) Tanzania ilivyokuwa mshirika wa karibu sana na Korea Kaskazini (kutokana na mfumo wa kikomunisti wa vyama tawala katika nchi hizo). Hata sasa ushirikiano huo bado upo. Lakini pia wapo Korea Kusini tunaoshirikiana nao katika...
  3. M

    Chadema imedandia behewa la cuf!

    SAHIHISHO: Katika post yangu ya kumjibu Malima, nimeelezea kuwa CUF haikupata hata Mbunge wa kufutia machozi. Hapo nilipitiwa na kusudio lilikuwa kueleza walipata wabunge wawili wa kuchaguliwa waliokifutia machozi chama hicho. Ninawasilisha.
  4. M

    Chadema imedandia behewa la cuf!

    MAJIBU YANGU KWA MALIMA NIMEZISOMA hoja dhaifu za Naibu Katibu Mkuu JUVICF-Thomas Malima, akijibu makala yangu kuhusu `CUF inapodandia behewa la Chadema.’ Siwezi kujibu kauli za kejeli za kiongozi huyo wa CUF kwa maana sina hakika ya historia yake tangu kuzaliwa, kulelewa, kukua...
Back
Top Bottom