Recent content by Mashahili

  1. Mashahili

    Vitambulisho vya mjasiriamali

    Kwa kuwa vitambulisho vya mjasiriamalia mdogo vilitolewa na Mh.Rais,na sasa vimekwisha muda wake,je tunasubiri tena Mh.Rais atoe vingine? Mamlaka zinazohusika tunaomba majibu tunasumbuliwa na TRA.
  2. Mashahili

    Kitambulisho cha mjasiriamali mdogo na kamata kamata ya wajasiriamali TABORA ni agizo?

    1.Kitambulisho cha mjasiliamali hakifanyi kazi tena? 2.Mbona hawajatoa vingine kwa mwaka 2020? 3.Tabora tunakamatwa tulipie Lesseni kuna maelekezo yoyote toka mamlaka husika? 4.Tunashindwa kufanya biashara zetu,kwani Afisa biashara wilaya na maafisa watendaji wa Kata wanaendesha zoezi la...
Back
Top Bottom