Mashahili
New Member
- Apr 9, 2020
- 2
- 1
1.Kitambulisho cha mjasiliamali hakifanyi kazi tena?
2.Mbona hawajatoa vingine kwa mwaka 2020?
3.Tabora tunakamatwa tulipie Lesseni kuna maelekezo yoyote toka mamlaka husika?
4.Tunashindwa kufanya biashara zetu,kwani Afisa biashara wilaya na maafisa watendaji wa Kata wanaendesha zoezi la kukamata na kufunga biashara zetu.mfano mimi ni fundi cherehani na ninacherehani moja tu naambiwa lesseni Tsh.62,000. tunahitaji tamko.