Recent content by MaserafiNaMakerubi

  1. M

    Mchumba wangu aliachana na Mke kwa kulala na Mkwe wake

    Nipo pamoja nawewe bega Kwa bega mpka ufe na stress
  2. M

    Ulifanya kosa gani Shuleni Hadi kengele ya dharura ikagongwa watu wakaja mstarini kwa ajili yako?

    Niliiba godoro la patron wa bwenini kwetu nipeleke mtaani kuwauzia mafundi sofa, ile nimeruka fens naingia lami gari la Headmaster hili hapa nilibebeshwa lile godoro kichwani mpka shuleni kengere ikagongwa wanafunzi wote kwakaja assembly point. Headmaster akauliza hili godoro linaweza kuwa la...
  3. M

    Mapenzi ya urozi/ndumba siyo mazuri epukana nayo

    Sawa natangaza nini Kwa akili yako hapo?
  4. M

    Mapenzi ya urozi/ndumba siyo mazuri epukana nayo

    Nakuahauri achana na mapenz ya urozi utakufa haki ya MUNGU nakuapia
  5. M

    Mapenzi ya urozi/ndumba siyo mazuri epukana nayo

    Kwema wana JF nawasalimia wote! Niende moja Kwa moja kwenye mada, huu uzi nimeamua kuuleta ili kuwaonyesha ni jinsi gani mapenz ya urozi yalivyotaka kunisababishia uchizi au kuniondoa uhai kabisa. Well! Ilikuwa mwaka 2016 chuoni mkoa x, nilikuwa mwaka wa kwanza mwaka huo. Chuoni hapo...
  6. M

    Usaliti, uchawi vingekuwa uhai wangu, vijana kiweni makini vyuoni

    Vijana vyuoni hii inaweza kuwa funzo kubwa sana kwenu, lakini pia hata raia wengine kuna cha kujifunza hapa. Ni stori ya kweli ni mkusanyiko wa visa vilivotaka kuchukua uhai kama siyo akili yangu. Nianzie mwaka 2017 nilipojiunga na chuo kikuu maarufu sana hapa nchini. First year semester ya...
Back
Top Bottom