elimu inaitaji sana kwa swala hili kwani kuzindua kiwanda maanake nini?dah watanzania saa nyingine tunajiabisha sn kuzindua kiwanda sikwamba hakifanyi kazi ata kama kinamiaka kumi kinaweza kuzinduliwa kwani kuna kiongoz alikwishakizindua?
na wala yeye ajasema kwamba zimejengwa wakati wake mbona mara nyingi utoa shukran kwa rais aliyepita ata yeye ipo.miradi kaanzisha lakini.ataondoka kabla.ajakamilika na atakuja zindua.mwingine ndo mfumo wa dunia nzima
misaada ni sifa mada zingine za.kipuuzi mtu akikwambia ufanye mapenzi na mama yako nikupe msaada usipofanya naye mapenzi upati msaada na wewe unaona ni busara kulala na mama yako upewe msaada ujinga nikushabikia vitu ata kama avina maana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.