Recent content by masengere

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Freeman Mbowe na genge lake anavyotafuna pesa za CHADEMA!

    Oh wameshakutuma tena.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge mstaafu, Abdul Mteketa alia mtandaoni akiomba msaada wa matibabu kutoka kwa Rais Magufuli

    Anamwomba rais pesa zetu. Hatuna pesa tulishaziweka kwenye budget tunatekeleza budget. Labda anamwomba pesa toka mshahara wake.
  3. M

    JamiiForums Tanzania CCM inatawala si kwa nguvu ya Rais Rais Magufuli bali misingi yake ni imara sana

    Ccm haishi uchaguzi hata mara moja. Kama sio polisi ccm ni wepesi kama kanga.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwako Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Ndugu Mnyeti

    Hivi Mnyete tukiwa wote ccm tatizo la maji hapa Bahati litakuwa limekwisha. Mbona mnafikiri vibaya ndugu zangu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwako Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Ndugu Mnyeti

    Atakapomaliza kukataa ushirikiano na chadema kitakachofuata ni kukataa ushirikiano na waizrael. Watoto wadogo wasijua historia ya amani yetu, undugu wetu. Wanafikiri kuwa ccm basi shida za watanzania zimekwisha.
  6. M

    JamiiForums Tanzania UTABIRI;-Simba 2 - 0 Gendamarie

    Simba 4-0
  7. M

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba: Rais hataki miaka 7 ila sisi tunataka, Bunge lifanye mabadiliko ya Katiba

    Kuna watu wamevimbiwa huku wengine hawana chakula. Tatizo Msiba hajui kuwa watanzania wenyeu uwezo wa kumzidi Mh Magufuli wapo, tatizo nafasi hiyo ni moja. Waliopita wangekuwa walafi kama Msiba Mh Magufuli angepatikanaje. Acha uvivu wa kufikiri.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kushtakiwa Mahakama ya Kimataifa kutokana na mahojiano aliyofanya na BBC

    Musiba kweli. Trump kweli
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM, Musukuma kumtukana mbunge wa CHADEMA (Lema) ni sawa?

    Ukitaka kumtendea mtu haki angalia uwezo wa anaetenda kama ni mdogo sana unamsamehe (Msukuma) huo ndio uwezo wake. Msamehe bure wajinga duniani wapo wengi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Musukuma: CHADEMA hawana ubavu wa kumhoji na kumfukuza Lowassa. Mwenye mbwa hawezi ng'atwa na mbwa wake mwenyewe

    Mbona mzee Kingunge kangatwa na mbwa wake??????
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huwezi Kumtukana Mkuu wa Nchi alafu ushangiliwe

    Mpuuzii kweli kweli.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kihotel/mgahawa kinahitajika haraka katavi

    Kipo kibanda kipo stendi ya mabasi tuwasiliane 0757387887
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kubenea: CCM ilitenga billion 5 kwa ajili ya ununuzi wa wabunge na madiwani

    Wakiweka ushahidi utakataliwa na pccb. Kwahiyo Hakuna haja.
  14. M

    JamiiForums Tanzania TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

    Kakobe anahela kwasababu anao waumini walio matajiri, wakati,na hata wa hali ya Chini akitaka fedha hata wewe wa tra unapeleka
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa mwisho kwa CHADEMA: Wafukuzeni Lowassa, Sumaye na wafuasi wao. Itumieni nafasi hiyo kurudi kwenye mstari!

    Ni wajinga tu wanaomfukuza mchezaji mahiri. Na wewe unawaza kumshauri mtu mbona mambo yako mengi yamekushinda Ni Lowassa na Sumaye wameyazuia???
Back
Top Bottom