Recent content by Masculinity

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu mwaka huu zipo au hazipo?

    Kiukweli nashangaa sana viongozi na roho zetu binadamu hivi kwann mtu akifanikifanikiwa anasahau maisha ya wenzake hata kama amesota nae au nao? Ndg zangu hivi serikali inafikiliaaje walimu walioko mtaani waliomaliza vyuo naona kama wanaona ni watu ambao hawatambuliki na serikali kabisa. Just...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuna app nyingine za kuingiza pesa kupitia survey zao online kama “Pramise”?

    kama mtu anatengenezewa ZENGWE ndo ili sasa :D :D :D :D :D :D :D
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mnaombaje mpaka maombi yenu yanajibiwa?

    Mimi naomba mtu ambae ana sala za romani katoriki na maombi yake basi anitumie hata private
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za Utumishi wa Umma ziwe za mkataba wa muda maalumu kwa kada zote

    unasema hivi sababu una kazi nikuulize swali kwanini wastaaf wengi wakitoka makazini wanafail life usiache kazi et unataka kujiajiri utapigwa virungu vya maisha mpaka unaona unachotaka kujiari haukionii wewe acha maneno ya vijiweni piga kazi mpk uzee wako mkuu Na nature ya ubinadamu hakuna kazi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za Utumishi wa Umma ziwe za mkataba wa muda maalumu kwa kada zote

    Njaa ni mbaya sana mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za Utumishi wa Umma ziwe za mkataba wa muda maalumu kwa kada zote

    :D:D:D:D:D sema bro una majibu mtu akiwa na kisukari anaweza kuzimia kwa unavyowajibu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu kama taifa kufanya usaili kwa kada ya Afya na Ualimu ndo Uajiri?

    umeongea ukweli unaouma sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu kama taifa kufanya usaili kwa kada ya Afya na Ualimu ndo Uajiri?

    hao ndo wanapata madaraka ili watese wengne sio wawatete wengi au ndo wale wakitoboa wanazani wenzao hawapambanii
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu kama taifa kufanya usaili kwa kada ya Afya na Ualimu ndo Uajiri?

    unajibu lakin utakuwa umetumia mihemko sana bila kuja na hoja mkuuu,, swali ni kwamba interview ya nurse mnaongea tu ndani ya dk tano unasema huyu nimepata muuguzi bora mkienda kupewa dawa za kichwa mkapewa za kifafa ndo mtaelewa usaili ulikuwa hauna maana yyte kwa hizi kada mbili usaili wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu kama taifa kufanya usaili kwa kada ya Afya na Ualimu ndo Uajiri?

    yes formative assement et unamfanyia mwalimu na watu wa afya unasema unataka watu bora tuko serious kwelii??? au ndo kutaka taifa liwe la kitapelitapeli tu?? sababu kinachofata hapo ni rushwa na sio kufanya usaili
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu kama taifa kufanya usaili kwa kada ya Afya na Ualimu ndo Uajiri?

    unaweza kuwa na hoja ila hoja yako ikalenga kama ukanamizajii mtu kasoma miaka minne au mitatu chuo afu waliomfundisha uliwaamini na kuwapa mandatory ya kumtarain huyo mtu leo hii utamkashifu vip mtu kuwa vyeti vyake havitoshi wakati wew ndo uliajiri watu wa kumtrain?? bora ungesema hivi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu kama taifa kufanya usaili kwa kada ya Afya na Ualimu ndo Uajiri?

    Kwangu mimi sio kitu cha ulazima sababu kwa mwalimu usaili wake sio wa mtu na mtu ila ni mwalimu mwenye na mwanafunzi wake je unazani watakaomfanyia mwalimu wa GEOGRAPHY au CHEMISTRY watakuwa watu wa professional wa ilo somo au hayo masomo? kama jibu ni ndio basi serikali inatumia gharama nyingi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania KERO Sekretarieti ya ajira kutaka usaili wa mdomo kada ya afya kufanyika sehemu uliyoomba kazi ni kuwabebesha gharama kubwa waombaji

    ni kweli lakini kumbuka hao hao serikali ndo wameajiri watu wa kuwafundisha je waliowaajiri bado hawana imani nao hhuko vyuoni????
Back
Top Bottom