Recent content by Masasati

  1. M

    Mashudu ya mbegu za michikichi yanapatikana

    Hello, guys. Tunacho kiwanda kidogo kinachozalisha mafuta yatokanayo na mbegu za michikichi ziitwazo mbosa/mise. Katika uzalishaji huu tunapata pia mashudu. Mashudu (palm kernel cakes - PKC) yanapatikana baada ya kukamua mbegu kupata mafuta. Mashudu haya yanafaa kuchanganywa na malighafi...
  2. M

    Je, ni vikwazo gani vinasababisha viwanda vya toothpicks kutokuendelea/kufanikiwa nchini Tanzania au Afrika Mashariki?

    Habari, wanajukwaa! Ni muda mrefu nimekua nikifuatilia viwanda vidogo vya kutengeneza toothpicks Tanzania na hata Africa Mashariki ili kuona hatua na mafanikio katika kuanzishwa kwake na muendelezo wake. Naona vingi haviendelei kama ilivyo ilivyotarajiwa. Kuna kiwanda bora kabisa kilikuwepo...
  3. M

    Tangazo la kazi: Anahitajika Afisa Masoko na Mauzo (marketing & sales) - Mwanza au Dar es Salaam

    Hello! Wana JF. Anahitajika afisa masoko na mauzo kwa ajili ya biashara ya vifaa vya keki na upambaji wa keki. Maombi yapo wazi kwa jinsia zote ila wanawake watapewa kipaumbele. Tangazo kamili lipo kwenye attachment.
Back
Top Bottom