Amenitafuta nimenweleza kasema atalipa anafanya vibarua apate ela alipe ayupo tayar nyumba kuuzwa nikamwambia mm sina chakusema pambana na mm sina ela unajua hsli yangu
Ningekuwa na uwezo nisingekuj kulalamik uku jingejua tu chance yakupata fedha ipo ila ndo ivyo ...naningelipa it's ningewahaidi kulipa sta kidogo kidogo
Wanajamii, sijui nianze na kulia...
Natamani nipige ukunga watu wanisikie, wajue mpaka ndani mwangu navyoumia. Natamani nipate wa kumweleza huu uchungu wangu ninavyojisikia kwa sasa, lakini watanicheka. Sina dada, sina kaka, sina mdogo — nimezaliwa peke yangu.
Story ni hii...
Mama yangu ni mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.