Wangoni wanafiki sn mkoa mzima haujawahi Kutoa mbunge toka upinzan ina haja gani kuwapa mbunge viti maalimu Wakati walimchagua Gama akidai ni ndugu Yao na mzawa wakimtosa Fueme kuwa c mzawa wa Songea
Mimi c amini Kuwa Lowasa anakubalika na Jamii YA kitanzania ukweli ni pesa inatumika kumpamba yeye tunapata shida sn kama hatutakuwa makini ktk kumpata rais bora ubadilikeni jamani na tuwe na fikra pevu za kulijenga Taifa
Aaa wap... Act kwenyewe aliyatuma majembe yake Dk kitila na mwigamba kwenda kumwandalia mazingila ili akitoka rasmi chadema aende act kama mwenye kit.. Mbinu zile zile walzokuwa wkizitumia kuujumu chadema ndizo walikuwa wakizitumia act... Na mwenyekit wa Chama hicho bwana limbu kashaenda...
Zzt namfananisha na jino la nyuma Katka meno yngu hata lik toka siangaiki kutafuta jino la bandia..... Kwa siasa za bongo zzto bay bay kisiasa..... Mimi ni mmoja Kat YA wale walio sababishwa na zzto kuipenda chadema. Lakin kwa mikakati yke ya kukimaliza chama. Aaaaa aaaaa nimeubwa na msimamo...
mweupe zito.. Anayejua katiba ya chama hailuhusu kwenda mahakami kwa kes kma ile.. Lakin kutokana na weupe wke kichwan akashindwa kujua nin afanye....... Wkat talatbu zko waz ndan ya katba
ww hujasoma vizur kitabu cha Mandela "long walk to freedom" acha kutudanganya mandela na wenzake saba walipata shida sn ktika hatakati za kudai majority kutoka kwa makaburu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.