Je wewe ni mfugaji wa kuku iwe wa chotara au wa kienyeji hakuna mfugaji anaefuga kuku ili apate hasara sio kuku Wa mayai au wa nyama wanaoleta faida Bali hata kuku Wa kienyeji wanafaida kubwa sana wakitunzwa vizuri tumeona wafugaji wengi Wa kuku Wa kienyeji wamekuwa wakifuga ilimradi wanafuga...
dawa hizi ni dawa ambazo zimetengenezwa kwaajili ya kuingilia mfumo wa ukuaji wa magugu na hazina madhara sana kwenye udongo kiasi kwamba ukapumzisha shamba kwa ajili ya dawa hapana ila kwa nini tunapumzisha shamba kwa sababu kazi ya udongo uliopo shambani ni kuupa mmea virutubisho na...
KUSINDIKA NYANYA
Nyanya ni zao ambalo haliwezi kuifadhika kwa muda mrefu lisipozindikwa zao hili ni zao la bustani ambalo linalimwa na wakulima na linahitajika katika shughuli za jikoni kama kiungo cha kuungi mboga, wakulima wemgi wamekuwa wakipata hasara kwa kulima zao la nyanya na kukata...
kuna dawa zinazopigwa wakati kabla hujapanda Na dawa zinazopigwa wakati umeshapanda mfano round up ni dawa inayopigwa kabla hujapanda Na ukipuliza unakaa siku 10 adi 14 ndio unapanda lakini kuna dawa kama tiller gold kwenye mpunga inapulizwa wakati umeshapanda Na mpunga umeota
Kuna mbolea ya npk inayoyeyuka kwenye maji ukisoma kwenye mfuko utakuta imeandikwa water soluble Na epison salt kuna maduka ya pembejeo yanauza ila sio yote
Ukiwa unatengeneza kwa kutumia mbolea zinazoyeyuka kwenye maji utajaza maji kwenye ndoo au pipa kisha utaesabu umetumia madumu mangapi kujaza kisha unapima kijiko kimoja kwa kila dumu ukimaliza unaweka kijiko kimoja cha epison salt kwa kila dumu
Kilimo cha hydroponic nikilimo ambacho hakitumii udongo katika ukuzaji wa mazao teknolojia hii hutumika katika ukuzaji wa mazao ya bustani pia hutumika kukuza chakula cha wanyama kijulikanacho kama hydroponic fodder
Kwa nini Kilimo hiki hakiitaji udongo kwasababu kazi ya udongo kwenye mmea ni...
Kilimo hiki sio lazima kifanyike kwa green house unaweza ukapanda ata kwenye vichanja
Shamba darasa hakuna coz mi nimtaalamu ambae nimemaliza kusoma mwezi uliopita saizi ndio nipo kwenye mchakato wa kutengeneza shamba
Sina ofisi natengeneza nyumbani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.