Kweli nimeamini kwamba "You have a dream" it is better you start dreaming before the night goes far. Huyu jamaa aliyetajwa na MAWAZO siyo mtu au hoja unayotaka tujadili ni ipi? Anyaway sometime dreams can become true, therefore you can sleep so that tomorrow will tell us what was the meaning of...
Si bure Mawazo lazima utakuwa na upungufu wa fikra, unajua ulikotoka mpaka kufika Geita? Tunashukuru kwamba tumeanza kukufahamu uvivu wako wa kufikiri ulipo. Hukumbuki kilichokufanya kuzunguka kwenye vyama mbalimbali na mwisho wale jamaa waliokutuma kuja kulinda masirahi yao hapa Geita...
Msukule ni wewe ambaye unatumia mawazo ya mwingine ku comment. Hii JF sasa hivi imekuwa na watu wa ajabu sana. Reasoning capacity yako inanitia mashaka kweli
Dada uko vizuri sana, umenigusa na hayo maneno yako machache. Big up sana. Watu wengine wanaleta thread ambazo ni za kumlazimisha mtu kuendelea kuwa mtumwa wa kikundi Fulani ambacho kimeanza kupoteza mvuto.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.