Recent content by masala kulangwa

  1. M

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Naweza kupata namba yako mkuu 0682896202
  2. M

    Naungana na Watanzania Wenzangu Kukemea kitendo cha kihuni kilichofanywa na Paul Makonda pale Clouds

    Kalipewa madaraka makubwa umri hautoshi badala yake kamemuaibisha boss wake. Kanamdharau mpk PM haka katoto
  3. M

    UCHAMBUZI: UKAWA epukeni kufanya makosa kama ya CCM wakati wa kampeni

    mkapa aliuza benki ya nbc kwa bei ya kutupa,akauza nyumba za serikali leo anatutukana watz ni pumbavu na malofa!!! ama kweli mtu akishiba husahau kama kuna njaa
  4. M

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Viongozi wa ccm,mnaongelea mapinduzi baada miaka 50!!!! Watanzania wanataka maendeleo,waambieni mmewafanyia nini baada ya miaka 50 ya uhai wa nchi hii,mmepigana vipi na umaskini,ujinga na maradhi.
  5. M

    Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    rais wa nchi na mwenyekiti wa ccm taifa ni sehemu ya kundi la wanamtandao,unajua hilo ndugu?
  6. M

    Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    lowasa angekuwa ccm butiku angeweza kusema hayo!!!! wazee wanafiki kweli hawa kundi hili liliivuruga ccm kweli kweli kikwete akiwa sehem ya kundi hilo hawakusema,leo lowasa kaondoka ndio wanajifanya kusema siunafiki huo.
  7. M

    Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    wanamtandao wamekuwepo mapema kabla ya uchaguzi wa 2000 na wakashika hatamu 2005 hadi kumzidi nguvu mwenyekiti wa chama wakati huo mkapa akapindisha kanuni kumfavour kikwete kupita kwenye mchakato wa raisi na badae kuwa rais. Mzee salim ahmed salim analikumbuka hilo vizuri maana alikuwa mhanga...
  8. M

    GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    chok wao wavunjike tu vipande vipande tumewako wanafiki wakubwa
  9. M

    Paza sauti ewe mtanzania kwa mitandao ya Tigo na Vodacom

    Nina hasira sana na serikali ya chama hiki cha mafisadi jamani! Sijapata kuona nchi yenye viongozi wenyewe uwezo mdogo wa kuona mambo km serikali hii. Hivi wanapofanya hivi wao huangalia lichama lao tu! Internet tunatumia kwa mambo mengi not kwa matumizi ya kupashana habari za kuyaondoa majizi...
  10. M

    Nape Nnauye: Atakayetoka CCM ataondoka yeye , mkewe na watoto wake basi

    Ila pia jamaa huwa anaongea kama mtu aliekatika kichwa a kanyofolewa ubongo
  11. M

    Ikitokea NEC ikaahirisha Uchaguzi Mkuu hapo Oktoba kwa matakwa ya CCM!

    Tanzania ni nchi nzuri ambayo watu wake huwa wananung'unikia vyumbani haki na usawa unapovunjwa na kugandamizwa na wanaojiita watawala hivyo sitashangaa kuona yale yote yanayoendelea nchini yakipita tena kirahisi.
Back
Top Bottom