Wewe uko nje ya mada....kinacholalamikiwa na wengi ni namna bodi ya mikopo inavyokata mishahara ya watu bila utaratibu....
Nakupa mfano: wapo watu nawajua walipelekwa nje ya nchi Urusi, China, India, Algeria, Ukraine etc na serikali mwaka 2005....na wengi waliambiwa ile ilikuwa ni...
Yes, nakubaliana na wewe...haina haja ya kuwalipa kwa hiari mpaka pale watakapoacha tabia za ubabaishaji na udhalimu..... imagine mtu alisoma chuo kuanzia 2004 mpaka 2008 kwa mfano...kipindi hicho sheria ya 6% VRF na hii 15% ya marejesho zilikuwa hazijatungwa...leo bodi ya mkopo wanaitumia...
Mimi nakwambia sijapata kuona watu wa ajabu kama bodi ya mikopo...wapo watu wengi wamenufaika na pesa za bodi ya mikopo lakini hawalipi kwa sababu bodi hawana taarifa sahihi kuwakamata...hivyo bodi wanachofanya ni kuwabambikia madeni ya uongo wale wachache waliojitokeza kulipa kwa hiari
Majibu ya bodi kwa bwana Iddy ni siasa tu.
Bodi ya mikopo ina matatizo makubwa sana.
Tatizo lao kubwa ni kughushi taarifa za madeni na kuwabambikia watu...yaani kwa ufupi hawana taarifa sahihi na hawataki kuekeweshwa.
Naamini kuna siku mh raisi Magufuli ataangazia huko na kutuokoa watanzania
Ndugu zangu mimi nimekuwa napambana sana na bodi ya mikopo.
Tatizo lao hawana taarifa sahihi kuhusu nani anadaiwa na anadaiwa kiasi gani...wameendelea kutegemea taarifa za kughushi kuwaumiza watanzania na madeni ya ajabu.
Kwa ufupi tutafute pesa ili watoto wetu tuwanusuru na hili zimi linaitwa...
Pole sana ndg Iddy...
Bodi ya mikopo yaani HESLB mimi naamini ni chombo kimeundwa kuwadidimiza watanzania kwenye lindi la umasikini.
.
Mimi binafsi nilienda bodi ya mikopo kuomba kujua nadaiwa kiasi gani wakasema jumla wananidai shilingi milioni 60.
.
Nilipambana nao sana zaidi ya miaka 2 bila...
unataka kusemaje sasa? kama haikuhusu we pita pembeni tuachie sisi tunaoumizwa na hili. Wapo watu wenye akili timamu watakuja hapa tudiscuss nini kifanyike....
Wadau hili suala liliishia wapi? Maana mimi nafanya kazi serikalini nakatwa 15% of my gross salary ila kinachonisikitisha wapo jamaa zangu wengi sana nilisoma nao darasa moja wameajiriwa private companies mpaka leo hawalipi hata cent moja......niliwahi kusema bodi ya mikopo ni waonevu wakubwa...
hili la bodi ya mikopo ni janga la kitaifa....watu wamehangaika sana sana sana baada ya kupewa madeni makubwa na ya kutisha...si serikali wala bodi wote wapo kimya labda watazinduka siku wakisikia mtu amejinyonga baada ya kudaiwa deni kubwa kuliko uhalisia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.