Recent content by masagego

  1. masagego

    JamiiForums Tanzania Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    vijana wa edo mko wapi rais wetu anachambuliwa hapa jamvini
  2. masagego

    JamiiForums Tanzania Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    may mwaka huu ndio mwisho wa haya yote.
  3. masagego

    JamiiForums Tanzania Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    mwaka huu tutasikia mengi!!!!!
  4. masagego

    JamiiForums Tanzania Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    NINGUMU JAMAA KUWA RAIS. Yeyote aliyekataliwa duniani na mbinguni amekataliwa. Natulimkataa huyu jamaa na hatimaye alijiuzuru nafasi kubwa hata mbinguni alikataliwa. Leo amesahau nini kwa wa Tanzania? Ukweli unauma sana ndugu zangu watanzania mpaka leo Nchi tunalipa Deni la Richmond kwa ajili...
  5. masagego

    JamiiForums Tanzania Wasaka Urais msirudi tena Majimboni

    ccm vipande vipande
  6. masagego

    JamiiForums Tanzania Wasaka Urais msirudi tena Majimboni

    MAZITO YAVUJA KIKAO CHA WENYEVITI WA MIKOA CCM,BARUA YA KINANA YAKOSOLEWA. Katika kikao cha wenyeviti wote wa CCM wa mikoa kilichofanyika katika ofisi ndogo za Lumumba jijijin Dar es Salaam jana tar.24. Wenyeviti hao wakiwa katika kikao chao kilichokuwa kinajadili mambo mbalimbali ya chama na...
  7. masagego

    JamiiForums Tanzania Hamad Rashid, Zitto Kabwe na Mwigulu Nchemba (Comparative analysis)

    mwigulu ni suluhisho la matatizo ya nchi hii 2015 tumpe aongoze dola
  8. masagego

    JamiiForums Tanzania Hamad Rashid, Zitto Kabwe na Mwigulu Nchemba (Comparative analysis)

    MAZITO YAVUJA KIKAO CHA WENYEVITI WA MIKOA CCM,BARUA YA KINANA YAKOSOLEWA. Katika kikao cha wenyeviti wote wa CCM wa mikoa kilichofanyika katika ofisi ndogo za Lumumba jijijin Dar es Salaam jana tar.24. Wenyeviti hao wakiwa katika kikao chao kilichokuwa kinajadili mambo mbalimbali ya chama na...
  9. masagego

    JamiiForums Tanzania Dr. Limbu,Mbatia,Cheyo wamtaja Mwigulu kuwa Rais ajaye,Wamuonya asiwaangushe

    na wasira pia ni msafi ndani ya ccm
  10. masagego

    JamiiForums Tanzania Dr. Limbu,Mbatia,Cheyo wamtaja Mwigulu kuwa Rais ajaye,Wamuonya asiwaangushe

    Chama cha Mapinduzi Mwaka huu kitamteua Kada mmoja Mwenye sifa zinazojitosheleza kuwakilisha Chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu October, Ili kupambana na Vyama vingine vya Siasa. Katika hali ya vuguvugu la kujitangaza Lowassa na Pinda wameonyesha nia, mmoja katangaza hadharani...
  11. masagego

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Tundu Lissu, Heche, Munishi na Ndesamburo mjini Moshi

    Hakuna chopa hapo kweli?
  12. masagego

    JamiiForums Tanzania Zitto na Anachokwenda Kusema kwa Waandishi Wa Habari...!

    :A S-confused1:hii ndio chadema
Back
Top Bottom