JamiiForums Tanzania
wanawake
Umri wako mdogo so bado hujayaona mengi duniani,huna experience ya kutosha to tell u the truth ndo maana hujui na wala huamini kuna kaka zako huwa tunawalipia lunch na dinner pale wanapojifanya ATM imesahaulika.Na kaka zako wengine wanalelewa,yes,wanaishi na kutunzwa na wanawake,wao kazi moja tu.