Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla ameagiza waajili wote nchini kutoajili wataalamu wasio sajiliwa na wataalamu wa Baraza la Maabara za Afya nchini ili kuepuka kuajili wataalam hewa.
Dk. Kigwangalla ameyasema hayo jana wakati wa...