Recent content by mary njuu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la The East African laomba radhi kwa Rais Kikwete, wakiri Katuni haikufaa kutumika

    Sijaona sababu halisi mana JK manake nn yani hata hakuna maana ya kufungia mbona hakuna ambae kajishuku jk ndio yy au wametuoa jiwe gizaniiiii
  2. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Jiji lisilokuwa na miundombinu ya habari kutokana na siasa

    Aiseee kweli huyu jamaa kamezeshwa matango pori na ccm kwaiyo habari zinazotoka mikoa yote tz kupitia Tv huwa kuna hizo kitu mbona unakua mfinyu Wa akili kama watuhumiwa Wa escrow jiongeze bhana ww unashanga arusha kuitwa jiji kwenu huko manjilinji kuna television gani au magazeti gani , basi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

    Jamani mnyika huwa anaongelea sana swala LA Maji labda a nataka atembee narabarani akiliongelea hilo kamanakumbuka aliombeleaga swala LA mabomba ya mchina yasiofanya kazi hiki kipindi kimetokea kutopata Maji hapendi na anajitaidi sana mm nimeshamsikia akiliongelea bungeni zaid ya Mara tatu na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya uchaguzi Rombo

    Honhera kiongozi selasini ukawa hoyeeeee yani huuu ni mwendo kiwembe kikali wakicheza tunawachuna mpaka ngozi ,ngoja tusikilize rais atasema nn leo ukawa begakwabega na watadondoka tu kama wachawi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ccm wakamatwa wakibandika majina feki ya wapiga kura-kiwalani/kigiragira

    Jamani hawa mngewachoma moto kabisa ndio wanatubadilishia midimami yetu hapo wachache wanaojifanya kua viherehere dawa hata kuwakata hata mkoni
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Rugemalira kutiwa nguvuni ndani ya siku tatu

    Kama kesi ya banu seya Kwa upande Wa ccm ni kubwa kuliko ya wizi wanaofanya sasa hii so nchi ya kitu kidogo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Rugemalira kutiwa nguvuni ndani ya siku tatu

    Dawa ni as kufanya mageuzi Kwa kupiga kura zetu hawa manyang'au yametuweka pabaya sana jamani tujitambue
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ccm wakamatwa wakibandika majina feki ya wapiga kura-kiwalani/kigiragira

    Kama kusoma haujui basis picha umetumiwa angalia mbulula Wa ccm ww huna jipya ww yani nyingi dawa yenu Kwa sasa kutobolewa macho
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Hoteli ya Gold Crest, Mwanza: Kongamano la Katiba Mpya

    Huwa ukweli unauma katiba ya warioba ndio katiba inayowabana na kwakua ccm wanapenda vya kitonga ndio mana mnaiona sio nzuli Kwa tarifa yenu hatuikubali kabisa na kunapoekejea itakua kama binge LA Kenya mana hata as wananchi tumechoka sikushangai ww unaeitetea ccm kwakua unaweza kuta babako nae...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge hawa wa CHADEMA ni mizigo isiyobebeka

    Pamoja sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete atunukiwa PhD nyingine Mandela University - Arusha

    eliasmushi umeonaeeee yani hawa dawa yao ni kura tu kudadeki yanielimu ya Tz hasara tupu kaaaa bado beta wasimsahau kwenye PhD ya hotel management
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mwandishi wa habari nisingeitikia wito wa kwenda Ikulu

    Kabisa pasco daaa yani kuliko nimsikilize huyo raising wenu mm nasikiliza record voice za ushindi Wa Kimara,mtwara,arusha na moshi ,kuliko nikae nimsikilize mana atatuambia nn kipya kama atatoa hukumu ya majizi ya kuteuliwa nitamsikiliza tena Kwa making sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Barabara mpya ya Msata-Bagamoyo inasambaratika hata kabla ya ufunguzi

    Kusikilizwa ni ndoto vumilia tu mana hats ukiongea haisaidii mana escrow imejaa masikioni na vichwani mwa watu Kwa kiasi walichogawana naimani hats iyo Barbara isingekua hivyo ilivyo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Picha za leo kikao maalum cha kamati kuu ya CHADEMA hoteli ya JB Belmonte

    Kura yangu sijaipoteza Kimara hoyeee
Back
Top Bottom