Recent content by MARWA MASANA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ACT hawawezi fanya siasa bila kuitaja CHADEMA?

    Vita kawawa, Dr. Mwinyi, Job Lusinde, january makamba, Nape, rizwani jakaya, nk Endelea mwenyewe
  2. M

    JamiiForums Tanzania Warioba, Wananchi Walitaka "Serikali 3" au "Nchi 3?"

    Ngoja nikupe tofauti ya nchi na serikali, 1) nchi lazima iwe na mipaka onayotabulika kimataifa, serikali ni mipaka ya ndani kama serikali za vijiji na mitaa 2) nchi razima iwe na uraia, kama passport documents, vitambulisho nk. Serikali haina 3) nchi lazima iwe na bendera yake ya kuitambulisha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Warioba, Wananchi Walitaka "Serikali 3" au "Nchi 3?"

    Mtoa hoja mpka sasa akili yake haina akili ya kutambua kuwa NCHI za Tanganyika na Zanzibar ndio zilizoungana, na kuwa Tanzania, na lengo ilikuwa ni kuanza na serikali mbili kuelekea moja, sasa kuna nchi mbili ndani ya nchi moja, zilozoungana, that means rais mmoja hana wawakilishi katika nchi...
Back
Top Bottom