Katika msimu wa uchaguzi ambao Watanzania wengi watasubiri matokeo yake kwa hamu ya kuona kama bado uimara wa upinzani upo ni majimbo 5 ndani ya mkoa wa Mara na ni haya hapa Rorya chini ya Ezekia Wenje, Musoma mjini Julius Mwita, Tarime Mjini Easter Matiku, Tarime vijijini John Heche, Serengeti...