Recent content by Marumia

  1. Marumia

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Habari zenu wadau naombeni kujuzwa kama kuna mtu anayefahamu mishahara na ngazi za mishahara ya TCU tafadhali. Pia kama wana allowances. Natanguliza shukrani zangu za dhati!
  2. Marumia

    JamiiForums Tanzania Maruhani

    Huu ugonjwa unaitwa upungufu wa kinga kichwani!
  3. Marumia

    JamiiForums Tanzania Polisisiemu

    Wanaonea dagaa waonee kambale waone cha mtema kuni!
  4. Marumia

    JamiiForums Tanzania Amepoteza tumaini mapema

    Dah kazi zimemchosha!! Uskute kabebeshwa hiyo ndoo hapo!
  5. Marumia

    JamiiForums Tanzania Hii kitu ya CCM niliipenda ila haikuzingatia usawa wa kijinsia

    Hao wenyewe hapo wataishia tuu kucheza tililalila Bhaaas! 2015 is a walk to remember!
  6. Marumia

    JamiiForums Tanzania Vijana wa zamani

    Kabisa mkuu waona kuna nati imelegea? Hahahaha you made me laugh though!
  7. Marumia

    JamiiForums Tanzania Mpe Neno Bibi Huyu

    Mbwa katulia tulii hata wasiwasi hana!
  8. Marumia

    JamiiForums Tanzania Lena

    Hehehehe Weka mbali na watoto!
  9. Marumia

    JamiiForums Tanzania Ya urithi

    Shika sana kidogo ulichonacho mkuu maana kuna waliorithishwa majumba na vihamba ila ndugu zao wenye tamaa wakauza.. Ila hiyo itakukumbusha mzee wako. Ni hazina tosha hutopata machungu sana sana utapata cha kusimulia watoto na wajukuu!
  10. Marumia

    JamiiForums Tanzania Vijana wa zamani

    Naona kijana anagonga Vitamin A hapo
  11. Marumia

    JamiiForums Tanzania Kama Beyonce...

    Shes hot and sexy!
  12. Marumia

    JamiiForums Tanzania Hadi huruma! Wananchi hawataki haya kwasasa

    Ngachoka kuchu
  13. Marumia

    JamiiForums Tanzania Picha: Weka yakwako iliyokuvutia

    Hapa anakata gogo na kulirusha ka njugu lol
  14. Marumia

    JamiiForums Tanzania Members Only! Hii mpya kabisa, usikose kuiona!

    Hihihi neno kuntuu:clap2::clap2::clap2:
  15. Marumia

    JamiiForums Tanzania Jionee madhara ya usanii juu ya Katiba pendekezwa

    Huyo ndo mjanja wao
Back
Top Bottom