Kweli nakubaliana na wote UDSM imeshuka kwa kusahaulika katika kuifanyia marekebisho hasa katika maeneo yanayo onekana kwa watu walio nje ya UDSM kama mazingira ya chuo na sifa za wanaodahiliwa. Miaka ya 97 kurud nyuma hakukua na mtu mwenye ufaulu wa dv 2 ndan ya UDSM. Lkn tusiangalie kushuka tu...
Yote sawa ila barnaba ni mwimbaji mzuri na anajua kuimba. Kuhusu AY jamaa ni wa kimataifa ila sisi wa Tz ndo hatuuelewi ila unaeleweka mbele ndo maana anachukua tuzo kwene Tv za kimataifa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.