Recent content by Martin George

  1. M

    JamiiForums Tanzania Amri ya Kima cha Chini cha Mshahara: Mtumishi wa ndani Tsh 60,000 kama anakaa kwa mwajiri na Tsh 120,000 kama anaishi kwake

    Taarifa inasema hivyo ndiyo viwango vipya vya mishahara kwa watumishi wa ndani yaani dada. Kama anakaa nyumbani kwa bosi atalipwa Tsh 60,000 kwa mwezi na wale wanaoishi kwao watalipwa Tsh 120,000 kwa mwezi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliyebadilishwa namba ya Mtihani afaulu kwa alama A

    Kapata A masomo yote
  3. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad(CAG): Nitaitikia wito wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge

    Nimeelezwa kuwa CAG ameitwa na BUNGE kupitia kamati yake ya maadili na siyo Spika. CAG ameitwa kwa summons ili awexe ku appear before kamati ya maadili na siyo Spika. BUNGE linaweza kumtuma au kumuagiza Spika amuite mti yoyote Yule achilia mbali CAG. Lowassa aliwahi kulilalamikia BUNGE kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini shughuli za uzinduzi wa kitaifa maaskofu wanakuwa wengi kuliko masheikh?

    Wewe hutaki miujiza?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini shughuli za uzinduzi wa kitaifa maaskofu wanakuwa wengi kuliko masheikh?

    Mbwiga waislamu gani ambao hawajagawanyika?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini shughuli za uzinduzi wa kitaifa maaskofu wanakuwa wengi kuliko masheikh?

    Shehe wa mkoa anachaguliwa na waislamu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini shughuli za uzinduzi wa kitaifa maaskofu wanakuwa wengi kuliko masheikh?

    Na wao wanakuona kama mwendawazimu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini shughuli za uzinduzi wa kitaifa maaskofu wanakuwa wengi kuliko masheikh?

    Bakwata ni nini kwani?!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini shughuli za uzinduzi wa kitaifa maaskofu wanakuwa wengi kuliko masheikh?

    Sijaona nini kinazingatiwa wakati wa kutuma mialiko maana Mara zote waislamu huwakilishwa na shehe wa mkoa wa DSM. Wakristo wao huwakilishwa na kilundo cha maaskofu sijaelewa ni kwanini? Au waislamu ni wachache kimadhehebu!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Dar unapotoka kuingilia yasiyokuhusu! Sakata la CAG hukutakiwa kutia neno...

    Hahahaaaaa.....waislamu wasio dhehebu la Bakwata wote wanampigania alhaj Assad
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Dar unapotoka kuingilia yasiyokuhusu! Sakata la CAG hukutakiwa kutia neno...

    Yule jamaa ni muislamu kweli?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Clouds 360: Hata kama CAG siyo muhimili kazi zake ni zaidi ya " huo" muhimili asikejeliwe!

    Hahahaaaaa..... CAG ameigawa CCM!
Back
Top Bottom