Recent content by Martha Adam

  1. M

    JamiiForums Nimeamini mwanamke mmoja 'anaweza' kutosha.

    Huwa tunajitahidi sana kutimiza wajibu wanawake, sema tu tabia ya wanaume wengi ndio hiyo kuridhika na mwanamke mmoja ni tatizo kwao. Mungu tu aingilie kati kwa kweli kwa nguvu zetu hatuwezi.
  2. M

    JamiiForums Kwa wanandoa tu: Hivi kwanini wake za watu mnajiamini kupita kiasi?

    huwa tunajiamini kwa mambo ya muhimu na siyo ya kijinga kama hayo!! Na kambuka mke wa mtu sumu; na kila mla cha mwenzie na chake huliwa upo hapo!!!!.
  3. M

    JamiiForums Vyakula vinavyopendekezwa kutumiwa na wanawake wakati wa Hedhi

    elimu nzuri sana iyo nimeipenda
Back
Top Bottom