Recent content by Maroony

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dereva Halima aliyekatika mkono asema 'Niliona mtu ninayemjua akivuka barabara kabla ya ajali'

    New Force ilikuwa hivyo zamani kidogo ...sasa hivi sijui sema naogopa tu. Ila mimi naongelea kuhusu ajali nadhani sbb ya speed.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dereva Halima aliyekatika mkono asema 'Niliona mtu ninayemjua akivuka barabara kabla ya ajali'

    New Force tena si Bora Tavavile. Sasa hivi nimekuwa muoga kusikia hizi habari za Superfeo ndiyo gari yangu Pendwa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

    Kinachoongelewa ni kakamua mtu mavi. Siyo huo uchafu unaousema tunaujua, na tunajua kama mtu akifa unatoka wenyewe. Acha kupindisha pindisha maneno.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nauli imepanda Kutoka Tsh 5,000 hadi Tsh 7,000 kutoka Mbagala - Kibiti

    K Kinachotakiwa serikali iseme nauli imeongezeka sh 100 tu kwa mabasi yote ya route za kawaida. Siyo madereva kujiamulia tu watakavyo. Mbona zamani huko mkuranga nauli ikipanda huwa inaongezeka Mia Mia?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa haraka kuhusu huyu binti

    We jamaa aisee 🙌
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mungu huwa anajibu (Karma)

    Nakazia. Mdada kalipwa alichostahili!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa DSTV wanatuchukuliaje Watanzania?

    Nakazia! Hata mimi nmeona hili pia.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa makanisani, ni muda wa wakristo kuamka na kuhoji

    Sidhani hata kama huu uzi pia umeelewa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa makanisani, ni muda wa wakristo kuamka na kuhoji

    Kimeniuma kipi?wakati nakwambia kuwa muelewa. Umeanza huko juu kujibu dini ya haki ya kiislamu mara soma na uislamu ndo nmekujibu kuwa muelewa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa makanisani, ni muda wa wakristo kuamka na kuhoji

    Jaribu kuwa muelewa hivyo vyote ni chuki kwa Mungu hata katika Biblia imeandikwa hizo ni tamaa za kibinadamu. Kwani hakuna mashekhe wanaofanya kinyume na maandiko ya Quran???
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimeletewa mdada wa kazi "jini"

    Amuamini vipi wakati mwanaume mwenyewe hapitwi na sketi?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

    Na yeye alkibadili dini kuwa mkristo ndiyo basi tena atakuwa hana maadili km hao wakristo unaowasema.... Umeshajijengea akilini kwako wanawake wa muislam wako hivi na wakristo wako hivi utapata tabu sana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

    Siyo sababu ya foleni ni uchache wa magari ya shule. Unakuta shule ipo segerea mwisho na watoto wanaishi kinyerezi afu wanashukuliwa saa12 kasorobo, hapo kuna foleni kweli??
Back
Top Bottom