Recent content by Maro victor

  1. Maro victor

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Umeme na maji wa wagosi wa kaya kama unao tupia hapa nimeutafuta sana
  2. Maro victor

    Series (Special thread)

    1. Tyrant 2. Prison break 3. If loving you is wrong 4. Power 5. Breaking Bad 6. 24 7. Game of throne
  3. Maro victor

    Nyumba inauzwa Arusha

    Pamoja sana kaka
  4. Maro victor

    Nyumba inauzwa Arusha

    Hapana mkuu haipo ndani ya hifadhi karibu uje kuona sehem
  5. Maro victor

    Nyumba inauzwa Arusha

    Hahaha
  6. Maro victor

    Nyumba inauzwa Arusha

    Mkuu mil 15
  7. Maro victor

    Nyumba inauzwa Arusha

    Milion 15
  8. Maro victor

    Nyumba inauzwa Arusha

    15 milion boss
  9. Maro victor

    Nyumba inauzwa Arusha

    Nyumba ipo maji ya chai Arusha, ina eneo la 15*15 ipo hatua 20 kutoka barabara kuu ya Moshi-Arusha. Haijamaliziwa ipo kwenye plasta. Bei ya kutupa nina shida na pesa kwa sasa. Serias buyer njoo tutaone eneo!! 0787913493/0624001171
  10. Maro victor

    Plot4Sale shamba linauzwa Tanga kirare

    ni tanga jiji. 18 km kutokea mjini kabsa.
  11. Maro victor

    Plot4Sale shamba linauzwa Tanga kirare

    hapana mkuu shamba sio la ukoo nililinunua mwenywe mwaka 2010 na nina document
  12. Maro victor

    Plot4Sale shamba linauzwa Tanga kirare

    pamoja sana kamanda
  13. Maro victor

    Plot4Sale shamba linauzwa Tanga kirare

    bado halijapimwa, pia halina hati nishamba pori tu ambalo halijawahi kulimwa ni zuri pia kwa uinvest kitu. mazao mengi unaweza kulima kutegemeana na msimu mf mahindi,bei ni mil 8 tu
  14. Maro victor

    Plot4Sale shamba linauzwa Tanga kirare

    nauza shamba lenye ukubwa wa ekari 16 njia ya kwenda wilaya ya pangani kata ya kirare kijiji cha kirare shamba halijawahi kulimwa. main road bei maelewano. nitafute 0787913493
Back
Top Bottom