Recent content by markp

  1. markp

    PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

    acha upuuzi hakuna anayelalamika mtu ampe ela au serikali igawe ela watu wanalalamikia ufisadi wewe huoni mambo yanayofanyika.??
  2. markp

    PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

    acha upuuzi hakuna anayelalamika mtu ampe ela au serikali igawe ela watu wanalalamikia ufisadi wewe huoni mambo yanayofanyika.??
  3. markp

    GE2025 Kumbe INEC imechukukua orodha ya wapiga kura kutoka NIDA?

    kinapatikana wapi hiko kitabu
  4. markp

    GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

    Mtu akiokoka haruhusiwi kutoa ushuhuda wa anayopenda yajulikane?
  5. markp

    Rehma na amani ziwafikie Muhammad na Yesu Kristo

    Ni kweli alikuja kwa israel lakini walimkataa sasa soma baada ya kumkataa kila anayemwamini anafanyika mtoto ndio maana akasema si kwa kuzaliwa [11]Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea. He came unto his own, and his own received him not. [12]Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa...
  6. markp

    Rehma na amani ziwafikie Muhammad na Yesu Kristo

    Hebu onyesha mahali ambapo biblia inajichangaya kwenye hilo
  7. markp

    Rehma na amani ziwafikie Muhammad na Yesu Kristo

    Sasa usichanganye mambo Yesu ujio wake wa kwanza hakuja kujaji mtu alikuja kutoa utaratibu ambao sasa ukiukataa ndipo atakuja kukujaji mwishoni . Alikuja kama mkombozi lakini awamu nyingine atakuja kama kama mfalme na awamu ya mwisho atakuwa mhukumu
  8. markp

    Freeman Mbowe haaminiki tena ndani ya CHADEMA

    Watu wengi tulimwamini sana Mbowe kama anaweza kuendesha chama na hana maslahi yanyoambatana na CCM lakini huu uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA umemprove wrong kuwa haaminiki. Hebu angalia woote walikubali Lissu agombee uraisi hii ikiwa na maana anaweza kuongoza nchi yetu vyema lakini jambo...
  9. markp

    Rehma na amani ziwafikie Muhammad na Yesu Kristo

    Hakuna sehemu inasema tumeombee Yesu Rehema Yesu ndiye atakayehukumu watu wote ila upande wa muhamad yeye hajui aendako pamoja na kuwa hadi Allah anamuombea rehema
  10. markp

    Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?

    Kwani hapo ndo analala si antoka kuelekea maeneo mengine ambayo si salama
  11. markp

    Nilivyonusurika kufa: Niliingia na kujinasua katika kundi hatari la uhalifu

    Hatujasahau umesema unapenda sana kuandika kuliko kuongea hapa naona unafurahi kuchati wakati sisi tunangoja mzigo
  12. markp

    Nilivyonusurika kufa: Niliingia na kujinasua katika kundi hatari la uhalifu

    Naomba tu unitag iwe ni story ya ukweli au ya uongo nimeipenda sana
  13. markp

    Kiongozi yeyote anayedhani bila yeye chama hakiwezi kupiga hatua huyo hafai kabisa

    Kama wewe ni kiongozi katika chama cha siasa au taasisi yoyote kubwa na chini yako kuna wafanyakazi wengi kufikifi kuwa bila wewe kampuni au chama kitakufa basi wewe ndio utakuwa tatizo katika hiyo taasisi. Kiongozi mzuri ni yule anayeandaa watu kuwa viongozi anajua kuna kufa, kuugua...
  14. markp

    Lissu kuwa na kaba ya ulimi, unawapa clue wafuatilie calls zako kumjua aliyekwambia kuhusu wasiyojulikana

    Uwe unasikiliza kwa umakini, lisu alisema alimuuliza aliyempa taarifa je anaweza kuzisema hadharani akajibu ndio
Back
Top Bottom