Umejiuliza kwanini Watu hii threed wanaichora tu,wanaona ni mada ya kipumbavu,yaani uifananishe mwanza na Dodoma ?kunasiku Watu walileta mada eti Dodoma inaizid dar
Ukiniambia Dodoma ni bora kuliko mwanza kisa ubora wa barabara wewe bado sana,hata tabora ya Toronto utasema inaizid mwanza maana hata tabora lami ni kila barabara
Shida ya Dodoma sio mji wa wananchi ni mji wa serikali na wafanyabishara
Zamani kabla ya serikali kuhamia Dodoma nitajie ghorofa...
Nasema hivi nimekaa Dodoma zaidi ako seemu gani Dodoma ambayo siijui,shida ya mwanza imebanwa sana na milima ndio hizo barabara kama za Dodoma mwanza huwezi kuziona
Ila ukiniambia Dodoma ni bora kisa bati nyekundu za swaswa,nkuhungu makulu na barabara za lami had virabuni bado sana
Mkuu nimekaa Dodoma zamani nilipotea kanda ya kati kwa muda mrefu zamani nilikua najua Dodoma ipo vizuri inaizid mbea mwanza
Kiukweli jiji la mwanza linanyumba zilizopangana juu ya mawe
Ila uzuri wa jiji la mwanza huwezi fananisha na Dodoma
Nilipokuwa juzi ndio nikasema yaani Dodoma...
Upuuzi wa Dodoma wananchi wanaishi maisha magumu(wa rangi,wagogo) wenye pesa ni Watu wa serikali ila mwanza wananchi ndio wanahela kuliko watumishi,
Kifupi kanda ya ziwa uchumi wa mtu mmoja mmoja ni mkubwa kuliko kanda ya kati
Wakuu kwa wazoefu wanajua Hii code
Kwa waliowahi kutoka na wake za Watu amini nakwambia,hao watoto uliobahatika kuzaa hao ndio ndugu zako,faraja yako wekeza nguvu hapo,ila huyo kiumbe wa pembeni amini nakwambia huyo ndio adui yako wa kwanza,sio jana sio leo sio kesho ipo hivyo,
Kwa waliowahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.